PRESIDA TO BE..
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 302
- 200
Andaa kuanzia laki 5 kwa heka ila bei yaweza kupungua kama litakuwa mbali zaidi na mjiNdugu.wasalaam..
Mimi ni kjana ambae natafuta maisha kupitia kilimo.
Ndugu wanajamiiforum nmekuja hapa kwenye hii forum kuulizia mwenye information ya kupata mashamba huko Rufiji na wanauzaje kwa heka. Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji...
Kama hutojali PM unisaidie kijana wa kitanzania anaetafuta pesa kihalali na sio vinginevyo..
Asanteni sana kwa kunielewa!
Naomba utueleze hapa mkuu. Wengi tutafaidika. Tukija wote huko kwenye mawasiliano yako utapata shida kutujibu wote kila mtu kwa wakati wake. Thanx in advance!Unataka kulima nini ndugu? Maximumu laki 4 na kushuka chini, mimi nalima huko na nina mashamba huko tuwasiliane kwa msaada zaidi.
Mkuu kama walivyokwambia wanajamvi wenzangu Rufiji ni wilaya na makao makuu yake yapo Utete.Ndugu.wasalaam..
Mimi ni kjana ambae natafuta maisha kupitia kilimo.
Ndugu wanajamiiforum nmekuja hapa kwenye hii forum kuulizia mwenye information ya kupata mashamba huko Rufiji na wanauzaje kwa heka. Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji...
Kama hutojali PM unisaidie kijana wa kitanzania anaetafuta pesa kihalali na sio vinginevyo..
Asanteni sana kwa kunielewa!
Sasa unadhani ni shi elfu kumi? labda ndani ya SELOUHiyo rufiji ya laki 5 kwa heka ni ipi ndugu? Mwenzio anataka msaada wewe unataka pa kutokea?
Hapo utete usijaribu,Ukigonga wanafunzi wa utete secondari unaotwshwa busha na wazazi waoHakuna sehemu inayoitwa Rufiji, hilo ni jina la wilaya.
Wewe unataka shamba wapi hasa? Jaribu, Bungu, Mahege, Nyamisati, Kibiti, Mkongo, Kilimani, Mloka, Ikwiriri, Nyamwage, Chumbi, Muhoro, Kiwanga au Utete?
Rufiji imegawanyika ndugu kuna maeneo yenye maji namaanisha sehemu zilizo karibu na mto jambo ambalo sio rahisi sana kupata itahitaji upige kambi upate wenyeji haswa usije ukapigwa, sehemu ambazo hazina maji ni kwanzia maeneo ya jaribu kuelekea kibiti mpaka rufiji yenyewe, ukitafuta maeneo hayo itakupasa uwe nguvu kubwa maana itakubidi uchimbe kisima au ulime mazao yanayotegemea mvua kama, mananasi, muhogo na passion nk, hapo ndio maana nikauliza unataka kulima nini? Pia nilimuuliza mtu mmoja aliokuambia andaa laki 5 alafu akakuambi mbali na mji inapungua, shamba tangu lini linakuwa mjini? Maeneo kwanzia jaribu kwenda kibiti mpaka rufiji kwa mashamba haiwezi kuzidi laki 4 ikizidi hiyo itakuwa kiwanja, mimi nipo maeneo ya bungu njia yakwenda nyamisati natumia maji ya kisima na mambo yanakwenda tu, ndugu yangu nivizuri kufikiria kikubwa but kwenye utekelezaji nivizuri kuanza na kidogo.
NAKUTAKIA KILA LAKHERI.