khalifa awe
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 147
- 31
AhahahahaYa kibiti nini?
Bati mbaya ninazo ekari 4 , zipo Ikwiriri ninaziuza wewe unataka 55. Na rafiki yangu pia anazo 4 anaziuza pia pia.Wanajamvi habarini. Nataka kununua shamba maeneo ya ikwiriri eka zisizopungua 55 nataka kwa ajili ya kilimo cha ufuta au mihogo nitapata? Na ni bei gani kila eka? Kisha in zao gani mnanishauri kulima zaidi ya ufuta na mihogo maeneo hayo?
Ahsante kwa taarifa lakini sihitaji chini ya idadi hiyoBati mbaya ninazo ekari 4 , zipo Ikwiriri ninaziuza wewe unataka 55. Na rafiki yangu pia anazo 4 anaziuza pia pia.
Kupata kiasi hicho cha ekari kwa mtu mmoja ni kazi isiyowezekana unachoweza kufanya ni kununu kidogo kidogo kutoka kwa watu wengi walioko eneo moja. (Ushauri tu huo)Ahsante kwa taarifa lakini sihitaji chini ya idadi hiyo
Si dhan kama inazid laki6 kwa heka ni bei rahis