Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,409
Nenda mnazi mmoja.Unapotokeaa Kongo.Kuna mataa ya mwanzo Fanya kama unaenda CRDB vijana..mbele kidogo utaona Bango.Wakuu naombeni ujuzi , kwa bajeti ya laki 2 ntaweza kupata pete aina gani? Mimi nipo Dar , ukinielekeza na duka itapendeza zaidi.
Sijui kwa gram zinauzwa, au ni vipi
Huyo mhindi bei ni poa Na nzuri.
No.zake 0713-213640