Njoo pm nikupe namba na mawasiliano ya wahusikaWakuu naombeni ujuzi , kwa bajeti ya laki 2 ntaweza kupata pete aina gani? Mimi nipo Dar , ukinielekeza na duka itapendeza zaidi.
Sijui kwa gram zinauzwa, au ni vipi
Usiende weee mjini hapa chezeaNjoo pm nikupe namba na mawasiliano ya wahusika
Laki mbili pete ngap? Unataka ya madin gan? Gramu bei @125kWakuu naombeni ujuzi , kwa bajeti ya laki 2 ntaweza kupata pete aina gani? Mimi nipo Dar , ukinielekeza na duka itapendeza zaidi.
Sijui kwa gram zinauzwa, au ni vipi
Mkuu, nikiwa na dhahabu yangu au almasi yangu nimenunua kwa wachimbaji huko shinyanga, nikimpelekea sonara atanitengenezea pete?NENDA MADUKA YA WAHNDI HUKO.. ILA ALMAS NDIYO PETE GHARI HUKU SILVER NDO BEI YA CHINI
Wakuu naombeni ujuzi , kwa bajeti ya laki 2 ntaweza kupata pete aina gani? Mimi nipo Dar , ukinielekeza na duka itapendeza zaidi.
Sijui kwa gram zinauzwa, au ni vipi