Nataka kununua mashine ya kusaga

Biashara nzuri sana,zingatia ubora na bei ili kuwa na soko la uhakika
 
Hii biashara ipo kwenye ndoto yangu, ukihitaji mshirika nishtue mkuu PM
 
Motor 15 kwa 20 hp dar waweza pata kwa 2200000/=
Vinu hapa Mbeya yupo mtaalamu anachonga kwa 1500000/=
Starter andaa laki 4 .
Ukiwa na milion 4.5 kila kitu kitakuwa sawa. Ila vinu ni sido siyo vya mchina.
Duuh kiukweli naona kwa MTU aliye serious na hii kazi kwa siku kuzalisha chini ya tan 10 hasara na hzo mota hapo hakuna ya kupiga mzigo kwa Massa 24
 
Duuh kiukweli naona kwa MTU aliye serious na hii kazi kwa siku kuzalisha chini ya tan 10 hasara na hzo mota hapo hakuna ya kupiga mzigo kwa Massa 24
Unabadili motor na vinu tu hakuna shida sasa unaanzaje kununua mamotor makubwa wakati unakoboa tano 3 per day.
 
Motor 15 kwa 20 hp dar waweza pata kwa 2200000/=
Vinu hapa Mbeya yupo mtaalamu anachonga kwa 1500000/=
Starter andaa laki 4 .
Ukiwa na milion 4.5 kila kitu kitakuwa sawa. Ila vinu ni sido siyo vya mchina.
Mkuu habari..., nikumbuke pm nimekutumia ndoto pleaseeee
 
Hi
Unabadili motor na vinu tu hakuna shida sasa unaanzaje kununua mamotor makubwa wakati unakoboa tano 3 per day.
Hii biashara no nzuri sana Ila kinachoponza wengi ni kuwa wengi wanaingia bila kuwa na taarifa sahihi. Kwa machine ya kukoboa ya roller tatu na kwa kupiga mzigo was haja letsay hata hizo tan 5 kwa siku, motor ikifikisha miez mitano ni bahat.
 
Huuu ndo ukweli kwa kupiga mzigo was haja na kuwa na machine ya roller tatu kukoboa ni utani. Kiukweli kuanzia roller tano au sits hapo kazi utaifurahia. Hii kazi faida ni ndogo ila uzalishaji wako ukiwa mkubwa utaipenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…