goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,067
- 1,372
Karibu kwenye gemu,!!! Hakuapia hautajuta ila hakikisha unanunua sido na sio za kichina kinu cha kusaga number 75 na mota HP 25!!! Kama upon dar weka MAHINDI na nafaka nyingine waache wasiojua wanunue Costa na eicherwana jamvi nina mpango wa kufanya biashara ya kusaga nafaka. Kwa wenye uzoefu na hii kazi naomba ushauri wa namna ya kupata mashine imara inayotumia umeme, bei zake pamoja na installation ikiwezekana hata na changamoto zake.
Karibuni kwa ushauri.
Nipo Mwanza nduguUpo mkoa wapi?
Karibu kwenye gemu,!!! Hakuapia hautajuta ila hakikisha unanunua sido na sio za kichina kinu cha kusaga number 75 na mota HP 25!!! Kama upon dar weka MAHINDI na nafaka nyingine waache wasiojua wanunue Costa na eicher

Motor 15 kwa 20 hp dar waweza pata kwa 2200000/=Mkuu nashukuru sana kwa mawazo ya
Mkuu nashukuru sana kwa mawazo yako, naomba kujua bei ya mota na kinu chake pia.
Motor 15 kwa 20 hp dar waweza pata kwa 2200000/=
Vinu hapa Mbeya yupo mtaalamu anachonga kwa 1500000/=
Starter andaa laki 4 .
Ukiwa na milion 4.5 kila kitu kitakuwa sawa. Ila vinu ni sido siyo vya mchina.
Nandra Engineering moshi kinu na mota Million 3.5 ni Imara sana sanaAsante sana, Sasa angalau nishapata pakuanzia
Kwanza HorsePower 20 ni ndogo sana labda kama anasaga visado visado. Angalau motor ya HP 35 nakuendelea kama anafanta kibiashara zaidi. Alafu mara nyingi lazima uwe na motor mbili kwaajili ya mashine ya kusaga na kukoboa.Motor 15 kwa 20 hp dar waweza pata kwa 2200000/=
Vinu hapa Mbeya yupo mtaalamu anachonga kwa 1500000/=
Starter andaa laki 4 .
Ukiwa na milion 4.5 kila kitu kitakuwa sawa. Ila vinu ni sido siyo vya mchina.
Gharama hizi hazihusishi installation na mambo ya leseni na mengineyo ni gharama za vifaa tu.Asante sana, Sasa angalau nishapata pakuanzia
Gharama hizi hazihusishi installation na mambo ya leseni na mengineyo ni gharama za vifaa tu.
Nandra Engineering moshi kinu na mota Million 3.5 ni Imara sana sana
Kwanza HorsePower 20 ni ndogo sana labda kama anasaga visado visado. Angalau motor ya HP 35 nakuendelea kama anafanta kibiashara zaidi. Alafu mara nyingi lazima uwe na motor mbili kwaajili ya mashine ya kusaga na kukoboa.
Unaweza kuongeza kimashine cha kufanyia packaging.
Kumbuka hapo bado umeme mkuu. Kwa motor hizo mbili au tatu lazima utahitaji Meter ya 3Q ya 250A.