Nataka kununua kobi kwa anaeijua

Nataka kununua kobi kwa anaeijua

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
katika pitapita zangu nimefanikiwa kupata habari ya kifaa kama laptop kinachoitwa kobi kipo kama laptop ila kazi yake ni kuangalia cd. nataka niinunue kama unaijua tafadhali tujulishane kabla sijatoa mpunga wangu.
 
yani dvd player yenye screen yake hapo hapo imekaa kama laptop.
7_inch_screen_portable_dvd_player_with.jpg

mi sikushauri ununue ni bora uwe na laptop ya windows xp kuliko hiko kidude.

kama umekipenda sanaaa huwez kuish bila hiko bas hakikisha hakizidi laki 1 kwa bei
 
wanakiuza buku 80. asante sana kaka
 
Back
Top Bottom