Nataka kununua kiwanja Zanzibar. Taratibu zipoje?

Nataka kununua kiwanja Zanzibar. Taratibu zipoje?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
Mimi mkazi bara kwa sasa Kagera, natamani niwe na kiwanja Zanzibar.

Naomba kujua taratibu za mtu wa bara kumiliki ardhi Zanzibar.

Maana Wazanzibar wengi wanamiliki ardhi Bara lakini sinawahi sikia Wabara wanaomiliki ardhi Zanzibar.
 
Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. ni sawa na Mtanganyika hawezi kugombea urais Zanzibar ila Mzanzibari anakua Rais Tanzania.
 
Karibu yakhee, kuna viwanja Mchambawima kama upo tayari tuwasiliane
 
  • Thanks
Reactions: amu
Su ndio nasikia leo hii.
Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar. ni sawa na Mtanganyika hawezi kugombea urais Zanzibar ila Mzanzibari anakua Rais Tanzania.
 
Huu mtihani any way jaribu

Ova
 
[SUP]Ukiwa una hela yako unanunua wazungu wanamiliki viwanja sembuse Mtanzania pata muuzaji nendani serikali ya mtaa (Sheha) na nendani wizarani kufanya transfer of ownership umemaliza.[/SUP]
 
Sio rahisi Zanzibar wabinafsi sana lakini pia wanadai wanalinda utambulisho wao kwani wanahofu bara wakinunua kule watajenga na kuzaliana sana na kuwafunika wao.
 
By far and away, Nyerere's most horrendous blunder was ramming Zanzibar down our throats.

He was smoking a joint when he signed that give-away contract.

julius-nyerere-leader-of-tanganyika-tanzania-HPXCT9.jpg
 
Mimi mkazi bara kwa sasa Kagera, natamani niwe na kiwanja Zanzibar.

Naomba kujua taratibu za mtu wa bara kumiliki ardhi Zanzibar.

Maana Wazanzibar wengi wanamiliki ardhi Bara lakini sinawahi sikia Wabara wanaomiliki ardhi Zanzibar.
Kiwanja mbona issue kubwa sana? anzia na kutaka kuoa mtoto wa kipemba kama utapewa....thubutuu !! Hao ndivyo walivyo...UBAGUZI asili yao ,,,na sijuwi hata sababu ya kuita wabara MACHOGO..
 
Back
Top Bottom