Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,422
- 8,366
mkuu niuzie hicho cha startimes 30 elfu, kama inalipa ni pm
chukua chakwangu kwa 50 tu + na antenna na waya wake vyote originale tena fasta kabla sijagawa
Mkuu nipe namba yako nije nchkue hcho cha startimes.chukua chakwangu kwa 50 tu + na antenna na waya wake vyote originale tena fasta kabla sijagawa
Hicho hicho startimes,wapigie 0767 700 800 watakuja mafund wao wakufungie bure.
Wadau, kinga'muzi cha Startimes kimenishinda. Nalazimika kutumia antena tatu, ili kupata chanel za kutazama. Kila antena ina chanel zake. Nikitumia antena moja napata baadhi tu. Nimejaribu kufuata maelekezo yao ya kuelekeza antena Makongo juu, lakini haijasadia kitu. Ombi lenu kwenu; nataka kununua king'amuzi kingine kati ya Continental na Digitek. Je, kipi ni bora. Naombeni ushauri utakoanisaidia tafadhali.
Ndugu Continental ndiyo habari ya mjini nakitumia nanimekipenda kwa kweli,sina headache ya kulipia labda baada ya mwaka mmoja nakula channel 24 bure.