Kwa internet ya airtel unaweza kupata huduma ya internet vizuri kabisaaHabari za leo wakuu,nimekuwa nikiziona IPAD 1 IPAD 2 watu wanazitumia sijajua sana zinafanyaje kazi hasa upande wa kupata INTERNET.
Mimi nakaa nje sana na mji na ninataka kununua IPAD huku niliko mtandao unaopatikana ni AIRTEL tu mingine inasu-sua sana je kwa IPAD nitaweza kupata INTERNET vizuri?????????
Naomba msaada kwenu.
Habari za leo wakuu,nimekuwa nikiziona IPAD 1 IPAD 2 watu wanazitumia sijajua sana zinafanyaje kazi hasa upande wa kupata INTERNET.
Mimi nakaa nje sana na mji na ninataka kununua IPAD huku niliko mtandao unaopatikana ni AIRTEL tu mingine inasu-sua sana je kwa IPAD nitaweza kupata INTERNET vizuri?????????
Naomba msaada kwenu.
Mimi ninge kushauri Ipad 2 with 3G ambayo unaweza tumia sim card, inachapa mwendo vizuri tuu na haina lolongo. Ipad one ni slow kiaina flani na haisupport latest software na ipad 3 inakula batri zaidi na inakatatizo ka kuwa chamotoo kiaina ukiipigisha mzigo. My ushauri chukua ipad2
Habari za leo wakuu,nimekuwa nikiziona IPAD 1 IPAD 2 watu wanazitumia sijajua sana zinafanyaje kazi hasa upande wa kupata INTERNET.
Mimi nakaa nje sana na mji na ninataka kununua IPAD huku niliko mtandao unaopatikana ni AIRTEL tu mingine inasu-sua sana je kwa IPAD nitaweza kupata INTERNET vizuri?????????
Naomba msaada kwenu.
nisamehe lakini sielewi kwanini utake ipad. una laptop labda? coz ukiwa na laptop utaweza kufanya vitu zaidi kuliko IPAD na internet bila shida. the only time unatakiwa kuwa na IPAD ni muda ambao unataka kushow off. hizi IPADS ni just glorified, oversized smartphones. ushauri wangu ni utafutane na laptop + modem, ten ndo utafute IPAD 2