Nataka kununua GPS

Mak Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2015
Posts
443
Reaction score
316
Naombeni ushaur wana JF ni wapi hapa dsm naweza kupata GPS mpya na original
 
Nenda pale baraka plaza geofield, wanazo za bei nzuri na imara sana
 
Ndiyo kitu gani hicho?? Na mm nikanunue???
 
Naombeni ushaur wana JF ni wapi hapa dsm naweza kupata GPS mpya na original

Hiyo kitu haiuzwi, inamilikiwa na Uncle Sam mwenyewe, labda kama unaongelea receiver.
 
Dar na Tanzania haiko surveyed mataa kwa mtaa ili iweze kukulipa kwa fedha utakayotumia.
Nilikuja Bongo na moja ambayo nilikuwa naitumia huko nje ilikuwa inashindwa kutambua maeneo kibao,vitu vingine kama sound nilivikosa kabisa,kwa jumla hailipi mpaka hapo baadaye tutakapo survyey mitaa ya nchi hii kikamilifu.
 
GPS inasimamia kirefu cha Global Positioning System ambacho hukusaidia kukuonyesha popote ulipo kwa kutumia co-ordinates, yaani Northing na Southing. Zinauzwa madukani sehemu mbali mbali. Maeneo ya kanda ya ziwa zinapatikana hapo Mwanza Hotel shop moja. Fika ucheki bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…