Nataka kununua google pixel 3 xl au 3 a

Nataka kununua google pixel 3 xl au 3 a

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Nataka google pixel 3 xL au 3 a nimeona bei zake ni around 350K je ukiachana na camera hizi simu zinakaaje na chaji na je spars zake nirahisi kupatikana

nahitaji detail kuhusu hizi simu google pixel 3 a na 3 Xl je zinaitofauti wowote

@mondayishard
 
Pixel 3 na 3xl ni flagship, zina perfomance kubwa ila hazikai na chaji.

Pixel 3A ni midrange na hasa Pixel 3A xl inakaa na chaji.

Kama priority ni camera na ukaaji chaji go with pixel 3A XL.

Kuhusu spea si rahisi kupata hapa tz ila online siku hizi unapata kirahisi siku 20 tu ama chini ya hapo.
 
Pia kama budget inaruhusu pixel 5A inakaa na chaji kupita maelezo (5a na sio 5) ni kati ya simu zinazokaa na chaji zaidi duniani.

Also consider oneplus pia ni alternative nzuri tu za Google pixel.
shukran oneplus inacheza kwe bei gan mkuu
 
Pixel 3 na 3xl ni flagship, zina perfomance kubwa ila hazikai na chaji.

Pixel 3A ni midrange na hasa Pixel 3A xl inakaa na chaji.

Kama priority ni camera na ukaaji chaji go with pixel 3A XL.

Kuhusu spea si rahisi kupata hapa tz ila online siku hizi unapata kirahisi siku 20 tu ama chini ya hapo.
shukran sana
 
Kama unaenda Route ya Refurbished ni around laki 3 hivi kwa oneplus 6T na hadi laki 5 kwa oneplus 7. Online. 6T ni equivalent ya pixel 3 na 7 ni equivalent ya pixel 4.

Pia op 8 mara kwa mara inadrop hadi $250 mpya kama budget inaruhusu.
Samsung galaxy S9 plain ukaaji wa chaji ukoje
 
Kama unaenda Route ya Refurbished ni around laki 3 hivi kwa oneplus 6T na hadi laki 5 kwa oneplus 7. Online. 6T ni equivalent ya pixel 3 na 7 ni equivalent ya pixel 4.

Pia op 8 mara kwa mara inadrop hadi $250 mpya kama budget inaruhusu.
3A XL Nimeona jiji wanaziuza 420K brand New
 
Pixel hazipo official Tanzania, na simu nyingi za Pixel ni kama Iphone bei ni Milioni na upuuzi even midrange kama pixel 5A inacost zaidi ya milioni 1.
asee nataka nichukue 3A AU 3A XL ipi ni nzuri na ukaaji mzuri wa chaji kati ya hizi
 
Back
Top Bottom