Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
kwa nini mnapenda kuunderestimate power of Google?
Ingia kwenye website ya sony then angalia product zao, soma specification zinazomeet ur requirements then place order kama uko mamtoni kuna free derivery, kama upo Bongo nenda Mlimani city, shoppers plaza, Jm mall utazikuta hizo product. una lingine?Google haitasema kama Nikon, Canon, Sony au Olympus just to mention a few, kama ipi ni nzuri, ninataka ushauri kutoka kwa watumiaji, sijui umenielewa?
Google haitasema kama Nikon, Canon, Sony au Olympus just to mention a few, kama ipi ni nzuri, ninataka ushauri kutoka kwa watumiaji, sijui umenielewa?
kwa nini mnapenda kuunderestimate power of Google?
Ingia kwenye website ya sony then angalia product zao, soma specification zinazomeet ur requirements then place order kama uko mamtoni kuna free derivery, kama upo Bongo nenda Mlimani city, shoppers plaza, Jm mall utazikuta hizo product. una lingine?
Ni vizuri wewe japo uje na options ya kutaja model ya camera mbili au tatu then omba ushaurri ipi inafaa. Zaidi ya hapo utachanganyikiwa kama si kuchanganywa.
asante kwa ushirikiano wako, ningependelea Canon, Olympus, Nikon au Sony
Wadau naombeni ushauri wenu. Nina mpango wa kutafuta kacamera kadogo lakini sijajua ni aina gani nzuri na vingine vingi vinavyohusu camera.
Ningeomba kwa wale wenye ujuzi na chombo hiki wanishauri ninunue ya aina gani. Nilikuwa napendelea digital camera yenye uwezo wa kuchukua na video.
Asanteni kwa ushirikiano wenu
kwa nini mnapenda kuunderestimate power of Google?