Vianelly Vian
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 337
- 100
Naomba msaada Wa kujulishwa hospital nzuri kwa matibabu ya meno
Regency medical centre wana facility nzuri!wana gharama kidogo kama una kadi ya bima ya afya itakua nafuu kidogo!
mkuu vp na hawa
Tumaini Hospital kuhusiana na hii huduma? maana siku zote mie huona kama
pale Regency wana kaubaguzi flani hasa kwa sie black na ukiwa na bima
ya afya ya NHIF brown card ndio kabisaaaaa. naomba some detail maana
hata na mimi mwenyewe nina tatizo na jino
regency ndo mpango mzima
Ngoja tuwatafute wale wa Ulimboka. Maana ni bure kabisa
Ngoja tuwatafute wale wa Ulimboka. Maana ni bure kabisa
Naomba msaada Wa kujulishwa hospital nzuri kwa matibabu ya meno
Nenda shree Indumandal pale posta
Upanga ROAD
Hawajaamaa hawang'olei jino VYUMA ni just tu dawa jino linallegea wanachomoa hata kwa mikono
Hautosikia maumivu...Njia hii itakusaidia hata kuzuia Blockage ya some Alveoral nerves ambazo zikiwa blocked vibaya either sababu daktari katumia nguvu kuliko akili basi utavimba na unaweza fanyiwa NEURO-SURGERY na ukizingatia wataharamu hii kitu ni 5 hapa bongo
Ngoja tuwatafute wale wa Ulimboka. Maana ni bure kabisa
Ni pm nikupe no ya docta wa kisarawe ana clinic yake ya meno tu pare Pugu sekondari huyu docta yupo fresh sana ukingoa jino huwez kujutia