Nataka kumuua mbwa

waite modokta wa mifugo watamchoma sindano na atakufa
 
Naye ana only one life, kwa nini uchukie wewe hiyo laifu yake? Muuze tu.
 
Mbwa mwenyewe Kakaa uchi
 
Weka picha halisi...
 
Mkuu; huyo mbwa wako ni dume au ni jike? Ana umri gani? Kwani kosa lake nini? Hebu vuta taswira ya binadamu anavyokua (Grow) katika maisha au kuishi kwake. Kwa mfano, Je, Wale watu tulio waona au kusikia habari zao za Ukali/Ubabe eg. Mike Tyson, Mohamed Ally and the like walibaki (Static) kuwa hivyo-hivyo tuu au nao ilifikia mahali/muda nao wakapoa? Usimwue bali endelea kumtunza kwani ulishapata huduma yake(Ulinzi/Ukali) yaani ulishakula fadhili zake. Wewe Ukimwua kwa makusudi ni sawa na kukamilisha usemi kwamba "shukrani ya punda ni mateke". Hakika utakuwa hujamtendea haki na hivyo Roho yake itakulilia. Kubali-Usikubali lakini UKWELI ndo huo. Nakushauri mwuze au mpe mtu anayemuhitaji. Kama ni dume nipe mimi nifanyie kazi ya crossbreeding. Lakini weka picha yake halisi sio hiyo ya ku-download. Aisee acha ukatili kwa viumbe wa Mungu.
 
Mbona mbwa mwenyewe hana ilani ya chama? Muue tu kivyovyote, Kwa ajali sawa, Kwa sumu itapendeza zaidi au Kwa risasi itakupunguzia gharama! Ila Kwa Ballot box Itakua ngumu kumuua!
 
Sio vzur mkuu usiue kikatili kwa sumu.mgawe au nenda kwa watu wa wanyama wamuue kwa njia isiyo na maumivu.kumbuka alikuwa rafiki yako huyo before usifanye hvo aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…