dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,344
Anasumbua na kibaya zaidi amekuwa kama hana ukali wowote, tangu afanyiwe figisu na weziMuuze tu au mgawe, usimtoe uhai na yeye anapenda kuifurahia hii dunia
Uongo upiMuongo.
Fanya unavyojisikiaAnasumbua na kibaya zaidi amekuwa kama hana ukali wowote, tangu afanyiwe figisu na wezi
Poa captainFanya unavyojisikia
Nitakae muuzia nita muuzia mzigo tu, mbwa ukali umepungua sio kawaidaKamuuze Mkuu
Naona umemua kutuonyesha kuwa una miliki mbwa aina hiyo huna lolote...Jamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Ni mfano tu Nilitaka jioni niki rudi so Nilitaka nipate mawazo mawili matatuMbona hiyo picha ya kudownload na si halisi?
Kamanda kibaya ni mkubwa kuwazoea itakua kaziMgawe kwa watu wakamtunze,usiuwe kiumbe bila hatia.
Mvutishe msuba nakuhakikishia hata wewe mwenyewe utamuogopaNi mfano tu Nilitaka jioni niki rudi so Nilitaka nipate mawazo mawili matatu
Why so serious...??Naona umemua kutuonyesha kuwa una miliki mbwa aina hiyo huna lolote...
Eti unaomba namna ya kumuua..watu bhana..