Aisee natamani kumuoa huyu mdada, maana daah ananipagawisha sana. Nijuzeni mawasiliano yake na taratibu za posa kwa kabila la Wapare. Nimejipanga na nina mvuto najua akiniona tu atanikubali

Yule mdada kajifunza mpaka kushanag'aa in kithungu Tungu Jana walio angalia waliona ukijifunza kitu ukubwani na malezi ya utotoni yalikuwa tofauti na unacho onyesha sasa