jojoe35 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 262 Reaction score 379 Jul 31, 2015 #1 Wakuu, Ni njia gani ya kumuacha msichana pasipo yeye kujua? Maana nimejarbu kumpotezea taratibu akashtukia,kaniuliza maswali kibao nimejbu yaliowezekana. Wakuu nipeni mbinu mnawezaje?
Wakuu, Ni njia gani ya kumuacha msichana pasipo yeye kujua? Maana nimejarbu kumpotezea taratibu akashtukia,kaniuliza maswali kibao nimejbu yaliowezekana. Wakuu nipeni mbinu mnawezaje?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,101 Reaction score 136,751 Jul 31, 2015 #3 jojoe35 said: Wakuu ni njia gan ya kumuacha mschana pasipo yy kujua? Maana nmejarbu kumpotezea taratibu akashtukia,kaniuliza maswali kibao nmejbu yaliowezekana, wakuu npeni mbinu mnawezaje? Click to expand... Mwambie awasiliane na mimi Genetic Jackhammer. Nina uhakika atakusahau kabisa.
jojoe35 said: Wakuu ni njia gan ya kumuacha mschana pasipo yy kujua? Maana nmejarbu kumpotezea taratibu akashtukia,kaniuliza maswali kibao nmejbu yaliowezekana, wakuu npeni mbinu mnawezaje? Click to expand... Mwambie awasiliane na mimi Genetic Jackhammer. Nina uhakika atakusahau kabisa.
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 Jul 31, 2015 #4 why hasijue??..kumwambie unaogopa?
Lj Mwambar JF-Expert Member Joined Apr 23, 2013 Posts 605 Reaction score 363 Jul 31, 2015 #5 Mpende saaaaana outomatic atapata kiburu then utamuachia hukohuko
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Jul 31, 2015 #6 ungekua unaachwa wewe ungejisikiaje? nakushauri kaa naye myajenge
D doreenbryn Member Joined Jul 28, 2015 Posts 21 Reaction score 13 Jul 31, 2015 #7 Kwa nini umuache na kwa nini ulimpenda
jojoe35 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 262 Reaction score 379 Jul 31, 2015 Thread starter #8 lilian mark said: kakufanyia kosa gn Click to expand... Nimkubwa kwangu, i mean jimama
jojoe35 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 262 Reaction score 379 Jul 31, 2015 Thread starter #9 doreenbryn said: Kwa nini umuache na kwa nini ulimpenda Click to expand... Nimkbwa kwangu, baas2 nilikua namatatizo ya ela
doreenbryn said: Kwa nini umuache na kwa nini ulimpenda Click to expand... Nimkbwa kwangu, baas2 nilikua namatatizo ya ela
B baba angu Dota New Member Joined Sep 1, 2013 Posts 2 Reaction score 2 Jul 31, 2015 #10 sasa si umwambie we mkubwa kwangu jimama, sikutaki. simpoooooo
jojoe35 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 262 Reaction score 379 Jul 31, 2015 Thread starter #11 baba angu Dota said: sasa si umwambie we mkubwa kwangu jimama, sikutaki. simpoooooo Click to expand... Duu! Ujui2 mkuu kwa alivoneemesha maisha yangu kumwambia ilo neno naona laana
baba angu Dota said: sasa si umwambie we mkubwa kwangu jimama, sikutaki. simpoooooo Click to expand... Duu! Ujui2 mkuu kwa alivoneemesha maisha yangu kumwambia ilo neno naona laana
M man of the year JF-Expert Member Joined Jun 23, 2014 Posts 422 Reaction score 205 Jul 31, 2015 #12 mvizie kimy kimya ushike simu yake uikague kama ukikosa ushaidi basi basi tambua watosaji huwa hawajui maumivu anayopata mtoswaji n shidaaa!
mvizie kimy kimya ushike simu yake uikague kama ukikosa ushaidi basi basi tambua watosaji huwa hawajui maumivu anayopata mtoswaji n shidaaa!
mangimeza Senior Member Joined May 13, 2011 Posts 190 Reaction score 98 Jul 31, 2015 #13 Niinbox number yake
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,378 Reaction score 176,233 Jul 31, 2015 #14 jojoe35 said: Nimkubwa kwangu, i mean jimama Click to expand... Oooh wakati mnaanzana alikuwa mtoto, ila now kawa jimama ghafla!!!
jojoe35 said: Nimkubwa kwangu, i mean jimama Click to expand... Oooh wakati mnaanzana alikuwa mtoto, ila now kawa jimama ghafla!!!
strong ruler JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 4,919 Reaction score 3,312 Jul 31, 2015 #15 Boy ungejua navyo tafuta demu wa kuweza kuniganda kama hilo jimama lako wala usinge sema hii maneno kabisa.
Boy ungejua navyo tafuta demu wa kuweza kuniganda kama hilo jimama lako wala usinge sema hii maneno kabisa.
jojoe35 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 262 Reaction score 379 Jul 31, 2015 Thread starter #16 atoto said: Oooh wakati mnaanzana alikuwa mtoto, ila now kawa jimama ghafla!!! Click to expand... Matatizo2 ya ela ndugu yangu, alinikuta na hal mbaya sn ya famuilia na ckua na option
atoto said: Oooh wakati mnaanzana alikuwa mtoto, ila now kawa jimama ghafla!!! Click to expand... Matatizo2 ya ela ndugu yangu, alinikuta na hal mbaya sn ya famuilia na ckua na option
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,054 Reaction score 16,509 Jul 31, 2015 #17 kama lina hela lilengeshe kwangu
V vitamin Member Joined Jul 30, 2015 Posts 12 Reaction score 4 Jul 31, 2015 #18 Kwani kakulazimish uwe naye.mwache atapat mwingin
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,378 Reaction score 176,233 Jul 31, 2015 #19 jojoe35 said: Matatizo2 ya ela ndugu yangu, alinikuta na hal mbaya sn ya famuilia na ckua na option Click to expand... Eti hukuwa na option!! Very lame excuse, boy how old are you?
jojoe35 said: Matatizo2 ya ela ndugu yangu, alinikuta na hal mbaya sn ya famuilia na ckua na option Click to expand... Eti hukuwa na option!! Very lame excuse, boy how old are you?
jojoe35 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2014 Posts 262 Reaction score 379 Jul 31, 2015 Thread starter #20 atoto said: Eti hukuwa na option!! Very lame excuse, boy how old are you? Click to expand... Gal lame exuse naww ushatoa nyingi sn, nimeomba ushauri wa njia yakuepukana na ili tatizo
atoto said: Eti hukuwa na option!! Very lame excuse, boy how old are you? Click to expand... Gal lame exuse naww ushatoa nyingi sn, nimeomba ushauri wa njia yakuepukana na ili tatizo