Nataka kumsaliti mume wangu

davina

Senior Member
Jan 21, 2012
113
87
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
 
Dah pole sana mwenzio mmmh, wakati ww upo kwenye fire kabisa.

Sina chakushauri ila kukutakia kheri ya kuvunja ndoa na kuingia kwa vijana wa mujini.

Pia kama vipi achana naye kabisa maana huyo mzeee akhuuuuu, mpo tofauti sana kimtazamo.
 
Kwa hiyo una listi ya watu watatu , kwa hiyo unahitaji tukuchagulie katika hao watatu au unahitaji kupata nje ya hao watatu?

Sihitaj kuchaguliwa ila nafikiria kama ntakuwa nakosea ndo nahtaj ushaur
 
Kilichokufanya mtoto mdogo wa miaka 26 ukaolewa 5 years ago(ukiwa na miaka 21) kwa kibabu ndo faida yake hiyo sasa. We nenda kamsaliti na huyo mmoja baadaye utasema na wa pili kuja kushituka ushapanga msururu wa vidumu. Na magonjwa haya saivi. All the besti dada
 
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia

kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani

nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi

naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

plz check me through PM asap.
 
acha na hao madowezi 3, si uamuzi mzuri kutoka nje ya ndoa yako.kaa chini na mumeo mzungumze.kuwa wazi kwake kuhusu kuhitaji chakula cha usiku ukiwa kama mke wake.muulize kwa lugha ya ustaarabu kuwa tatizo ni nini hasa.pia mweleze jinsi unavyopata wakati mgumu kwa kukosa haki ya ndoa.nina hakika atabadilika.kitu kingine inawezekana na wewe una gubu kiasi cha kumkera mumeo hadi anakuwa hana hamu ya kuwa karibu na wewe.kama ni hivyo,yakupasa na wewe ubadilike.ndoa ni pande mbili za sarafu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom