Nataka kumsaliti mume wangu

kwani zamani mambo yalikua vp hadi sa hizi utake kwenda nje?? muulize mumeo kua tatizo ni nini??
then ukishaligundua, tafuta jinsi ya kurekebisha.
 

Simegwi na masela
 
Naomba tuhamie kwenye PM tukashauriane huko huko please, hapa kuna watoto na shule hazijafunguliwa bado hatim,aye wataku-stress tuuu
 
Sasa dada ebu funguka vzr, umesema umeolewa na huyo bwana miaka 5 iliyopita na unaishi naye hamjafunga ndoa... Mbona hueleweki?
 
Una mkwanja mrefuuu???

Kahaba mpenda pesa utamjua tu, kunguru halifugiki. Kinachokufanya wewe usaliti ndoa yako ni Tamaa na wala sio nyeg. Ukioa mjini haya lamza utakumbana nayo. Kila lakheri katika kuufanyia biahsara mwili wako ila kumbuka uko ndani ya ndoa hivyo mwili wako ndo mwili wa mwenzio. Nyinyi ni mwili mmoja.
 
Sasa dada ebu funguka vzr, umesema umeolewa na huyo bwana miaka 5 iliyopita na unaishi naye hamjafunga ndoa... Mbona hueleweki?

Ya tumeoana kimila ndoa bado
 
Hapa kikubwa unachotaka ni kugegedwa haswaa uongo ukweli? Manake inaonekana mahitaji yako yote Babu seya anakupa....
 

We ndo kahaba sina dhiki ndogo ndogo wala siuz mwili ila cwez toka na mtu anuka jasho owk?????
 
mume kafika uzeeni kabla ya kula raha za dunia.
PM hapo nikupe njia bora na salama
 
Kama una miaka 26 kwa sasa na umeishi naye miaka 5 in maana ulianza kuishi naye ukiwa na miaka 21 ilhal yeye alikuwa na miaka 41. Ni kitu gani kilikufanya ukubali hayo mahusiano ukizingatia tofauti kubwa ya umri. Wewe ni mke wa kwanza ama nyumba ndogo yake. Kama ni mke wa kwanza umejaribu kuchunguza sababu za yeye kuchelewa kuoa?
 
^^
Hiyo tofauti ya umri wenu 49-26= 23
Ilikuwa ndoa ya kulazimishwa? Au nini ulichoficha kabla ya kufikiria uamuzi huo?
^^

Amesema hawajafunga ndoa. Lakini kaolewa..
 

Nyumba ndogo
 
We ndo kahaba sina dhiki ndogo ndogo wala siuz mwili ila cwez toka na mtu anuka jasho owk?????
Hanuki jasho bana si anaoga kila siku sema hutaki kugongwa kwa elfu kumi.
 
Nyumba ndogo
ooh,kumbe nyumba ndogo,basi itakua ameichoka ya kwako kapata brandnew nyumba ndogo,chakufanya kama kweli hujiuzi tafuta houseboy msafi asienuka jasho awe anakutimizia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…