Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,808
hapo chacha rafiki amwache babu aendelee na kijana ila pesa mbaya sana usipokuwa na akili itakuendesha
Tamaa za vijana, wanadhani pesa inaweza kununua mapenzi
hapo chacha rafiki
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia
kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani
nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi
naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi
OLESAIDIMU ukujeee

Utofauti kimtazamo umeanza leo? Hiyo miaka yote alikuwa wapi?? Huyo anafatuta donda afukuze nzi!! Toka nje upate la kulipataDah pole sana mwenzio mmmh, wakati ww upo kwenye fire kabisa.Sina chakushauri ila kukutakia kheri ya kuvunja ndoa na kuingia kwa vijana wa mujini.Pia kama vipi achana naye kabisa maana huyo mzeee akhuuuuu, mpo tofauti sana kimtazamo.
Wamuache Sir God ashughulike na wagonjwa jamani imagine Ocean Road watu wanaumwa Incurable !!!!!!
Hawa kweli wanahitaji hiyo maneno !!!!!!???????
Kuna watu wamesoma hawana kazi miaka inaenda waachieni hawa hiyo nafasi !!!!!!!
snowhite labda sisi ndio kuna kitu hatukioni au!!!!!!???????
Mi ndo wehu kabila hii nsoutaka!
Tujiliage nyama choma tu!
Mh...nakuonea huruma, ila sikushauri utafute mchepuko. utakosa bara na pwani. Hapo ndipo mwanzo wa maisha magumu na yenye ukakasi yatakapoanza. Tulia tu, achana na mawazo TASA..
Kwa hiyo miaka yote hiyo hamjafunga ndoa wewe ni nyumba ndogo siyo? Mwache mwenzio arudi kwa mkewe!!! Sasa wee mtu unapishana 19 years ni babako ulienda kufuata nini? Alikuwa na mkwanza siyo? Kitandani hakuna cha mkwanza, ni mtalimbo tu unaheshimika pale!!! Sasa na hapo inaelekea anaye mwingine na ndiyo nguvu zinaishia pale. KWa miaka 49 kwa mwanaume bado jembe huwa ni Zima kabisa japo kiasi cha magoli kinaweza kikiwa kimepungua kama Viagra haihusiki hapo!! Tehe Tehe!!! Njoo nikukune!!