NATAKA KULEWAAAAA!!(Tilalilaaaa!! Full Tungi!)

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Usinuilize kwanini sababu Utaninizinguaaaaaaaaa!!!!!!!!
Ukitaka jiunge na mimi, Kama ni Pesa Kunywa Mimi Nitanunua!!!!!!!!!
Mimi mwanzo sikuamini, Nikajuaga vya UZWAAAA!!!!!!!!!!
Kumbe MJINGA ni MIMI, NAITUNZA WENZANGU WANACHUKUA!!!!!!!!!!!!!!
Mie Siwezi walionikuta waache niseme shida!!!!!!

NATAKA KULEWAAAAAA, NATAKA KULEWAAAAAAA, (TILALILAAA) NIACHENI NIMWAGE RADHIIIIIII!!!!!!!!!!!!!

Nikamvisha pete tayari kwa kumuoaaaa
Kukata vilimilimi vya wanafiki, wazushi, na wambeaaaa
Kumbe mwenzangu na mimi NAJISUMBUAAAAAA
TUPO KAMA ISHIRINIIII, MABUZI!!!!!! VINGASTIIII!!!!!! NA WENGINE ANAWAHONGAAA!!!!!!!!!

NATKA KULEWAAAAAAA, NATAKA KULEWAAAAAAAAA, (TILALILAAAAA) NIACHENI NIMWAGE RADHIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Huyo ni PAPA DAIMONDO PLATINUMS NA KITU CHAKE KIPYAAAAAA!!!!!!!!! Kimenikunaaa sanaaa maana hayo ndo maisha ya wadada wa MUJINI, UKIWAVAGAA TU KUVIKA PETE IMEKULA KWAKO!!!!!!!!!!
 
ahahahhahah we mdogo wa mimi una fujo weye !haya bwana we wape tu za chini chini!wanaisoma hivo ngoja wakununie
 
Hahahahahaha! Una hatari kulewa jpil yote hii! By the way nan kavalishwa diamond ring?
 
Diamond ana gundu!!!!!!1 Yeye MIJIFUPA ILIYOWASHINDA FISI (Kina NBAA aka Mr. Hammer na Vogue) YEYE CHIWAWA ANATAKA KUIWEKA NDANI JUMLA!!!!!!!!!!! Mwache alewe tu kwa raha zake!!!!!!!! Mimi nimemshauri arudi mtaani kwao pale tandale amchukue Binti mzuriiii wa kimanyema, au Kihabesh habesh, basi aje hata jirani kinondoni nimpe cousin wangu wa kingazijaaa, toto la commorro, limeshika dini!!!!! Mbishiiiiiiiii! Kutwa kutanga na BONGO MOVIES!!!!!!!! Atalewaa sana mwaka huuuu!!!!!
 
Angalia usimwage................................

Usinuilize kwanini sababu Utaninizinguaaaaaaaaa!!!!!!!!
Ukitaka jiunge na mimi, Kama ni Pesa Kunywa Mimi Nitanunua!!!!!!!!!
Mimi mwanzo sikuamini, Nikajuaga vya UZWAAAA!!!!!!!!!!
Kumbe MJINGA ni MIMI, NAITUNZA WENZANGU WANACHUKUA!!!!!!!!!!!!!!
Mie Siwezi walionikuta waache niseme shida!!!!!!

NATAKA KULEWAAAAAA, NATAKA KULEWAAAAAAA, (TILALILAAA) NIACHENI NIMWAGE RADHIIIIIII!!!!!!!!!!!!!

Nikamvisha pete tayari kwa kumuoaaaa
Kukata vilimilimi vya wanafiki, wazushi, na wambeaaaa
Kumbe mwenzangu na mimi NAJISUMBUAAAAAA
TUPO KAMA ISHIRINIIII, MABUZI!!!!!! VINGASTIIII!!!!!! NA WENGINE ANAWAHONGAAA!!!!!!!!!

NATKA KULEWAAAAAAA, NATAKA KULEWAAAAAAAAA, (TILALILAAAAA) NIACHENI NIMWAGE RADHIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Huyo ni PAPA DAIMONDO PLATINUMS NA KITU CHAKE KIPYAAAAAA!!!!!!!!! Kimenikunaaa sanaaa maana hayo ndo maisha ya wadada wa MUJINI, UKIWAVAGAA TU KUVIKA PETE IMEKULA KWAKO!!!!!!!!!!
 
Tatizo kishakuwa staa so wa tandale si hadhi yake tena,ila unapointi akirudi uswaz aweza pata demu wa ukweli then atampiga sopsop na unyunyu na akaenjoy life,hayo magumegume anayoyasalandia yanampoteza tu!!
Diamond ana gundu!!!!!!1 Yeye MIJIFUPA ILIYOWASHINDA FISI (Kina NBAA aka Mr. Hammer na Vogue) YEYE CHIWAWA ANATAKA KUIWEKA NDANI JUMLA!!!!!!!!!!! Mwache alewe tu kwa raha zake!!!!!!!! Mimi nimemshauri arudi mtaani kwao pale tandale amchukue Binti mzuriiii wa kimanyema, au Kihabesh habesh, basi aje hata jirani kinondoni nimpe cousin wangu wa kingazijaaa, toto la commorro, limeshika dini!!!!! Mbishiiiiiiiii! Kutwa kutanga na BONGO MOVIES!!!!!!!! Atalewaa sana mwaka huuuu!!!!!
 
Nasikia mr NBA aka hummer na vogue,, yupo kwenye mchakato auziwe zile appartment za mliman villas ? ( Za chini ya kapeti hizo mawingu fm),, sipati picha wadada wa mjini watavyombebea mimba ya mapacha fasta kuleta walithi...

Za chini ya kapeti zainadai anahonga sana kwa wahusika auziwe zile nyumba au na yeye apewe eneo lilibak near near m city aongeze appartments...

Lara 1 nakuaminia we mtoto wa mjini fanya mambo uzae nae maana mabilion ya NBA yale hayachelewi kununua udsm yote
 
Hata Lara Hajamuona?
 
Una akili wewe, wajanja ndo wanavyofanya nowdays baada ya kuchezea sana ma sister du wa mjini, wakitaka mtu wa kuanza nae familia wanaingia chimbo wanakamata mtoto mzuri anapigwa soap soap za kutosha anapewa somo zuri atulie wafanye maisha akisomeka anawekwa ndani life inasonga..

Ukikamata mtoto wa kiswaz au shamba huko ukampiga soap soap vizuri anatulia tuli as mara nyingi vurugu zao zinashababishwa na matatizo tu, but akiwa na assurance ya happiness na security maishan mwake anakuheshim na kutulia mpaka raha .. Ngoja niingie chimbo na mimi nimtafute wa kuniachisha bia
 
Ama kweli ndio maana akina MIWATAMU wanakuita kungwi mzoefu kumbe hawajakosea! Hapo nimekupata mwaya.
 
Ingia chimbo kijana utapata 2!
Una akili wewe, wajanja ndo wanavyofanya nowdays baada ya kuchezea sana ma sister du wa mjini, wakitaka mtu wa kuanza nae familia wanaingia chimbo wanakamata mtoto mzuri anapigwa soap soap za kutosha anapewa somo zuri atulie wafanye maisha akisomeka anawekwa ndani life inasonga..

Ukikamata mtoto wa kiswaz au shamba huko ukampiga soap soap vizuri anatulia tuli as mara nyingi vurugu zao zinashababishwa na matatizo tu, but akiwa na assurance ya happiness na security maishan mwake anakuheshim na kutulia mpaka raha .. Ngoja niingie chimbo na mimi nimtafute wa kuniachisha bia
 
Nasikia mr NBA aka hummer na vogue,, yupo kwenye mchakato auziwe zile appartment za mliman villas ? ( Za chini ya kapeti hizo mawingu fm),, sipati picha wadada wa mjini watavyombebea mimba ya mapacha fasta kuleta walithi...

Za chini ya kapeti zainadai anahonga sana kwa wahusika auziwe zile nyumba au na yeye apewe eneo lilibak near near m city aongeze appartments...

Lara 1 nakuaminia we mtoto wa mjini fanya mambo uzae nae maana mabilion ya NBA yale hayachelewi kununua udsm yote

NAOGOPA KRISTAPEN!!!!!!!!!!! Nishasemaga im number 1 VIBAMIA FAN!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom