NATAKA KULEWAAAAA!!(Tilalilaaaa!! Full Tungi!)

Uliiona au story za mjin? Kajilie vyako shosti usiwe mwoga!

Mwenzangu kusoma sijui, hata picha nayo SIIONI!!!!!!!!!!! Aku mateso bila chuki mie siyataki kabisaaaa!!!!!!!!!!
 
Hahahahah joketi alikutonya nn? Mpaka kubwa la maadui limekimbia kwel mziki mnene cd 700.

Eti huo wimbo ni taarab au mnanda? hebu jibu mimi binti lara 1
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah joketi alikutonya nn? Mpaka kubwa la maadui limekimbia kwel mziki mnene cd 700.

FOR THE RECORD!!!!!!!! IM NUMBER 1 VIBAMIA FAN!!!!!!!!!! (Mambo ya mtu mmoja anakuta kimfereji afu akishapita yeye anaacha bahariiiii kama si ziwa!!!!!! Na kukuoa hakuoi, unabaki kila nxt victm anelea tu baharini!!!!!!!!!! Akuuuuuuuuu!!!! Ila za chini ya kapeti zinadai hadi Daimondo Kristapen atiii!!!!!!!!!! Mmmhhhhhhhhhhh! Kweli wembamba wa reli TRENI INAPITA!!!!!!!!!!!!!)
 
Eti huo wimbo ni taarab au mnanda? hebu jibu mimi binti lara 1

Wimbo ni wa Bongo Fulevaaaa!!!!!!! Mzuriii huo haswa ukiwa umetundika vitus kichwani!!!!!!!! Unanikumbusha sana enzi za Mr. Ebbo (R.I.P) Kamongo umemfanya nini muleli anapaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Hahahahahah,Shosti acha bana unawaharibia watu soko!
FOR THE RECORD!!!!!!!! IM NUMBER 1 VIBAMIA FAN!!!!!!!!!! (Mambo ya mtu mmoja anakuta kimfereji afu akishapita yeye anaacha bahariiiii kama si ziwa!!!!!! Na kukuoa hakuoi, unabaki kila nxt victm anelea tu baharini!!!!!!!!!! Akuuuuuuuuu!!!! Ila za chini ya kapeti zinadai hadi Daimondo Kristapen atiii!!!!!!!!!! Mmmhhhhhhhhhhh! Kweli wembamba wa reli TRENI INAPITA!!!!!!!!!!!!!)
 
Diamond anakula watoto wazuri sana. Huu wimbo atakuwa kamuimbia bint fulani. Mtoto wa nyoka ni nyoka, kauli hii inamaana mama wa bint huyo naye enzi zake alikuwa wembe enhee. Mimi nataka kupiga (Kula mzigo) huyo mama anipe zilipendwa, Old is Gold, wadau nitajieni ni nani huyo anayeimbwa ili nimsalandie mama yake jamani.
 
Hahahahahah,Shosti acha bana unawaharibia watu soko!

Shaurilo!!!!!!!!! Mi ngoja niwahi Kitchen Party one time, mmoja huyo kapunguaaaa, kazi kwangu naebakiaaaa!!!!! Kitcheni party yenyewe ya mtoto wa kidhungu basi Mtoa Mada MAMA MCHUNGAJI!!!!!!!!!!!! Itakuwa kupiga mihayo tuuuuu huko na kusogoa!!!!!!!!!! Mambo yote Kitchen Party za uswaziiii!!!!!!!!! KUNGWI TOKA DUBAI AU DOHA!!!!!! Unaenda na NOTE BOOK na peni kabisaaa ili usipitwe na SUKARI ZA DUBAI!!!!!!!

Ok!!! Byeeeeeeee! Napitwa na Wimbo Ulio Bora na Hekima za Suleimani!!!!!!!!!!! See ya letter!!!!!!!
 
Ok andika hints uje unimwagie!

Usinuilize kwanini sababu Utaninizinguaaaaaaaaa!!!!!!!!
Ukitaka jiunge na mimi, Kama ni Pesa Kunywa Mimi Nitanunua!!!!!!!!!
Mimi mwanzo sikuamini, Nikajuaga vya UZWAAAA!!!!!!!!!!
Kumbe MJINGA ni MIMI, NAITUNZA WENZANGU WANACHUKUA!!!!!!!!!!!!!!
Mie Siwezi walionikuta waache niseme shida!!!!!!

NATAKA KULEWAAAAAA, NATAKA KULEWAAAAAAA, (TILALILAAA) NIACHENI NIMWAGE RADHIIIIIII!!!!!!!!!!!!!

Nikamvisha pete tayari kwa kumuoaaaa
Kukata vilimilimi vya wanafiki, wazushi, na wambeaaaa
Kumbe mwenzangu na mimi NAJISUMBUAAAAAA
TUPO KAMA ISHIRINIIII, MABUZI!!!!!! VINGASTIIII!!!!!! NA WENGINE ANAWAHONGAAA!!!!!!!!!

NATKA KULEWAAAAAAA, NATAKA KULEWAAAAAAAAA, (TILALILAAAAA) NIACHENI NIMWAGE RADHIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Huyo ni PAPA DAIMONDO PLATINUMS NA KITU CHAKE KIPYAAAAAA!!!!!!!!! Kimenikunaaa sanaaa maana hayo ndo maisha ya wadada wa MUJINI, UKIWAVAGAA TU KUVIKA PETE IMEKULA KWAKO!!!!!!!!!!

aaah! Kumbe we KinondoniDar kweli wewe unayoyafanya na unapo isi sawaaaa kabisaaaaa.... Mtoto unamaneno Kama Jini mcharuko lol!
 
Shaurilo!!!!!!!!! Mi ngoja niwahi Kitchen Party one time, mmoja huyo kapunguaaaa, kazi kwangu naebakiaaaa!!!!! Kitcheni party yenyewe ya mtoto wa kidhungu basi Mtoa Mada MAMA MCHUNGAJI!!!!!!!!!!!! Itakuwa kupiga mihayo tuuuuu huko na kusogoa!!!!!!!!!! Mambo yote Kitchen Party za uswaziiii!!!!!!!!! KUNGWI TOKA DUBAI AU DOHA!!!!!! Unaenda na NOTE BOOK na peni kabisaaa ili usipitwe na SUKARI ZA DUBAI!!!!!!!

Ok!!! Byeeeeeeee! Napitwa na Wimbo Ulio Bora na Hekima za Suleimani!!!!!!!!!!! See ya letter!!!!!!!

astakafilulahi laazini lol!
 
Pitia pale Matema pub uchukue Castle Ligt 10..... nimeshakulipia weyeee usihofu....
 
aaah! Kumbe we KinondoniDar kweli wewe unayoyafanya na unapo isi sawaaaa kabisaaaaa.... Mtoto unamaneno Kama Jini mcharuko lol!

Wewe menzetu unaishi uzunguni MANHATTAN NEW YORK nini au ndo wale wale!!!!!!!!!!!!!!! LOLEST!!!!!!!!!!!
 
Pitia pale Matema pub uchukue Castle Ligt 10..... nimeshakulipia weyeee usihofu....

Walipaji hawatoi matangazo ya vifoooo!!!!!!! Wanalipa tu kimya kimya sababu kwao ni VITU VIDOGO SANAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!! Hizo za mawazo mpelekee mkeo!!!!!!!!!!!
 
Mke c ndo wewe au Leo unanikanaaaaa

Ungekuwa mume ungejua mkeo nakunywaga nini, na kijiwe changu ni wapi!!!!! ila umepotea chaka, hadi baaman anakuzidi manake ameniuliza KAMA KAWAIDA? Inaonesha anaijua!!!!!!!!!!

Jitahidi kuhudhuria BACHELOR PARTY kwa wingi!!!!!!!!!!!! Kabla sijakupa redundancy!!!!!!!!!
 
Leo, ubadiri hata Kiwanja... Utupie savannah! za kutosha usijali mtoto mzuriii
 
Back
Top Bottom