nataka kula bata leo

papaa2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2012
Posts
411
Reaction score
101
kwa mlio Dar niko safarini nakuja Dar nimepangiwa kufikia hotel moja mpya mitaa ya Mabibo hostel,naomba msaada kwa yafuatayo;
  • wapi naweza kupata huduma ya massage mitaa hiyo manake niko hoi.
  • kuna viwanja gani mitaa hiyo naweza kula bata bila vurugu.
  • mwenye nafasi anakaribishwa tutumie hela ya mkoani,fungu lipo la kutosha
 
mabibo hostel hakuna huduma unazozitaja na hata hotel ipi pale ni ya maana lunch time au? kha!
 
Unamaanisha bata gani mnyama au 0712::: maana DSM sio mkoani neno bata lina maana nyingi ukishavuka chalinze!!!!
 
Nenda moro,wakushikishe adabu,utachangiwa mpaka nauli
 
Mabibo aise heri ungekaa kimya tu uctaje eneo. bata utapata huko huko ni uswazi sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…