MTOTO YATIMA
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 147
- 58
Mimi nimejaribu kutafta sasa hususani waliiomba kupitia NACTENazipataje Kaka? Mbona Sizioni
Mimi nimejaribu kutafta sasa hususani waliiomba kupitia NACTENazipataje Kaka? Mbona Sizioni
Nimeshayapata Yapo Kwa Website YaoMimi nimejaribu kutafta sasa hususani waliiomba kupitia NACTE
Ingia Website Ya Saut "saut.ac.tz" Halafu Fungus Arusha Branch Kwenye News And Events Zao Utaona Kuna Second Selection Pale WameyawekaMbona majina ya second round hayaonekani tuambieni mlikoyaona wadau
Naomba Kama kuna mtu ana pdf second round sautIngia Website Ya Saut "saut.ac.tz" Halafu Fungus Arusha Branch Kwenye News And Events Zao Utaona Kuna Second Selection Pale Wameyaweka
Mimi bado sijaona majina ya second round watu walioapply kupitia NACTE kusoma degreeNaomba Kama kuna mtu ana pdf second round saut
thats the harsh reality....umetoa ukweli..umeita beleshi beleshi sio kijiko kikubwa..Kina majengo ya ghorofa 3,,, kwa chini kidogo kuna office za magari ya mtei express ,,, kwakuwa kipo town utasikia wapiga debe (makondakta) wanasema ,, kwa morombo kwa morombo,,kwa morombo,,,na wengine utawasikia ,majengo majengo,,mbauda majengo juu sacon ,,,,,, hahahaha karib arusha bhana ,,, ukipita matejo kupigwa roba nikawaida tu yan,,, au kuporwa sim nijambo la kawaida sana yan,,,,