kipo mjini kabsa kimezungukwa na huduma zote muhimu jirani kuna soko la kilombero chini kidogo kuna suprmaket maarufu sana arusha ya nakumatWanajamvi mweny kujua chochote kuhusu hiki chuo, uzoefu nacho, location, accommodation na vngne kama vipo....
Karibuni
nimekupa location tu kuhusu huduma zake watakusaidia wanaosoma apoMkuu vp kuhusu garama za hostel zkoje na je ni za chuo au kitaaKipo ngaranaro, Hostel zipo, wanajitahidi kwamambo ya elimu mi naingia 3rd year pale. Karibuni sana.
Ni za chuo au watu bnafsiHotel ni laki 3 kwamwaka. Nje zipo na nyumba zakwaida zipo.
Za chuo. Ila pia kuna za watu binafsi. Ukifika chuo utakuta wengine wamejitangaza pale kwenye notice boardNi za chuo au watu bnafsi
Mkuuu ni PM plzKipo ngaranaro, Hostel zipo, wanajitahidi kwamambo ya elimu mi naingia 3rd year pale. Karibuni sana.
Tayari mkuuSauti Arusha Second Selection Zimetoka??
Nazipataje Kaka? Mbona SizioniTayari mkuu
YametokaSauti second round majina yametoka au bado wadau
Mbona majina ya NACTE hayaonekani kwa walio omba degree sauti ebu tupeni msaada wanduguSauti second round majina yametoka au bado wadau