Nataka kujitoa chadema naomba ushauri

Ndugu kwa hili umechemsha! Hembu acha watu waongee vitu vya msingi, tusiende ktk mambo ya nguoni.
 


Bado tu?, nilitegeme kuona umeandika kuwa tayari umeshajitoa.
 
as usual wanachadema na majibu ya jazba
 
Wewe ni walewale,ama kweli Nyani hawezi ona Kundule.
CCM na Uraisi si mali ya familia na uko?
 
mtu mwenye tabia tofauti na alivyo utamuona tu anaomba ushauri omba ushauri wa kitu kilicho wazi, ni sawa sawa na mlevi ambaye anapenda kujiangusha angusha, sasa sijui iweje
 
Jitoe maana huna faida, pia unaonekana mzushi na pandikizi. Chapa lapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…