Nataka kujifunza graphics and design, hivi Kuna haja ya kwenda college nilipie ada nifundishwe au nikikomaa na online tutorials naweza kuwa competitent?
Nataka kujifunza graphics and design, hivi Kuna haja ya kwenda college nilipie ada nifundishwe au nikikomaa na online tutorials naweza kuwa competitent?
Kuwa na ujuzi binafsi ni jambo jema sana,lakini jitaidi uwe na vyeti pia,nikishangaa kuona juzi NIT wanatoa mafunzo kwa makondakta wa magari.Juzi plus vyeti is best maana utakapoitajika utafanikiwa kupata