Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 476
- 1,060
Hapana, kwa sababu hata Anglican sijaona machawa lakini nimeamua tu nihameKesho kutwa wakitokea maaskofu wenye mrengwa wa kichawa na kujipendekeza utahama pia π€
Anza kwenda ibadani mwao , kutana na uongozi wa kanisa , elezea dhamira yako watakupa mwongozo stahikiHapana, kwa sababu hata Anglican sijaona machawa lakini nimeamua tu nihame
Hili suala nilianza kulifikiria zamani. Ila sasahivi nimeona nifanye maamuzi mazima ili nisijiulize tena kuhusu kuhama dhehebu
Kwa sasa mimi ni muumini wa Kanisa la Anglican lakini hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na Kanisa Katoliki, na nimeona ndio Kanisa linaloendana na misingi yangu. Nadhani sijachelewa maana bado ni kijana. I'm still in my 20s
Kwa hiyo huu mwaka nitajitahidi nihamie Kanisa Katoliki. Jumapili hii inayokuja naanza kwenda kusali Kanisa Katoliki
Uzuri O Level nilisoma shuke ya Kikatoliki kwa hiyo taratibu zao nyingi nazijua
.
.......
Karibu tule KITIMOTOUzuri O Level nilisoma shuke ya Kikatoliki kwa hiyo taratibu zao nyingi nazijua
Nitazingatia hiliAnza kwenda ibadani mwao , kutana na uongozi wa kanisa , elezea dhamira yako watakupa mwongozo stahiki
Kwa sababu ni jukwaa huru. Hakuna shida yoyoteItafikia wakati watu mtakuja kuleta mada za kutujulisha ya kwamba mnaenda kukata gogo.
Mambo mengine ni madogo madogo tu, lakini mnayaanzishia nyuzi! Shida nini?
Na ni kweli tofauti zetu ni ndogo sana ndio maana ni rahisi kwangu kuhamia KatolikiMuinglikana kwenda Katoliki, ni sawa na mtoto kurudi nyumbani. Anglikana na Katoliki tofauti ni ndogo sana, zaidi ni masuala ya kiutawala, liturujia ni ile ile moja.
Sisi wakatoliki tunasema karibu sana nyumbano ili kwa pamoja tuuishi Umoja katika Kristo Yesu, jina pekee tulilopewa wanadamu kwaajiki ya wokovu wetu; NAYE amesisitiza,"kuweni wamoja kama MIMI na BABA tulivyo wamoja".
Wewe hutakuwa wa kwanza, hata Tony Blair aliyekuwa Waziri Mkuu wa UK amerudi nyumbani Katoliki.
Kitimoto nakula toka kitambo. My favourite dish of all time ππKaribu tule KITIMOTO
Kwa kanisa katoliki hawawezi kuwa wote.Kesho kutwa wakitokea maaskofu wenye mrengwa wa kichawa na kujipendekeza utahama pia π€
Unapenda rost tamu, mchesho au mkausho na ndizi za kukaanga?Kitimoto nakula toka kitambo. My favourite dish of all time ππ
Napenda mkausho na ndizi za kukaangaUnapenda rost tamu, mchesho au mkausho na ndizi za kukaanga?
Nakubari usikaushe sana kwenye ile sukari sukari ndio utamu ulipoNapenda mkausho na ndizi za kukaanga
Pia leo mchana nimepiga ugali, mboga za majani, kachumbari na kitimoto mkausho. Hii kombo nayo ni fire ππ₯π₯
Sawa mkuu πNakubari usikaushe sana kwenye ile sukari sukari ndio utamu ulipo
π π πSawa mkuu π
View attachment 3526685
AsanteAnza kwenda ibadani mwao , kutana na uongozi wa kanisa , elezea dhamira yako watakupa mwongozo stahiki