LEARN from yesterday, LIVE for today, and HOPE for tomorrowI'm thinking deeply of moving to abroad.....i,m sick and tired of a lot of BS in TZ…..NIMECHOKA….
Kuna mambo ambayo hayawezi kubadilika kwa miaka mingi mpaka wazeee wenye roho mbaya kama Makamba,JK na wenzake wafe,vizazi vyao akina Riz1 wafe na Pia akili za watz wengi mpaka zibadilike…..
nao ndio kidoogo tz kutaanza kuwa sehemu bora kuishi….haiwezekani mimi nilale giza,nipate dawa zilizo expire,nipite kwenye barabara mbaya,huduma kila sehemu mboovu……siwezi kutaja yoote….so
Where would I start?
I'm thinking deeply of moving to abroad.....i,m sick and tired of a lot of BS in TZ…..NIMECHOKA….
Kuna mambo ambayo hayawezi kubadilika kwa miaka mingi mpaka wazeee wenye roho mbaya kama Makamba,JK na wenzake wafe,vizazi vyao akina Riz1 wafe na Pia akili za watz wengi mpaka zibadilike…..
nao ndio kidoogo tz kutaanza kuwa sehemu bora kuishi….haiwezekani mimi nilale giza,nipate dawa zilizo expire,nipite kwenye barabara mbaya,huduma kila sehemu mboovu……siwezi kutaja yoote….so
Where would I start?
kigali ntakuja soon hao warembio si wa kitoto.....
wewe unafikiri mbeba box kama Nyani ngabu au buduhalim watakushauri nini?
maaang i aint looking for love....bibi yangu mzaa babu anaishi Finland alikuwa akisaka mume wa kumliwaza upo tayari nikuunganishe nae
Nitafurahi sana ukihama nchi ili tubaki wachache wenye uzalendo na moyo wa dhati wa kuibadilisha nchi hii. Ila chondechonde ukiondoka usirudi maana katika uhalisia kwa uhuru tuliouzoea huko kwingine hakuna.
mashori wa uko hawapigi mizinga?
Ulipokuwepo mwanzo ulitumia tactics gani?wewe na painkiller akili moja.....nipe tactics za kuhepa tz
Hawana njaa hizo kama wa bongo
wewe na painkiller akili moja.....nipe tactics za kuhepa tz
acha zako dogo.....im wa here here(wahapa hapa).....Ulipokuwepo mwanzo ulitumia tactics gani?
mizinga yao sio kama yenu.....nyie mmezidiNani kasema? Hata mademu wa Huko mamtoni wanapiga mizinga. Sembuse huko kigali!
mkimpiga buti PM anakuwa na hasira kweliUnajua maana ya ban wewe?