instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 346
PSPF wana matatizo ila bima ya afya wana matatizo makubwa eti wanahakiki wachangiaji kwa kuwaambia wapeleke picha nza wachangiaji na wategemezi na wanasema wasipofanya hivyo huduma itasitishwa tarehe 27 januari. Pesa wataendelea kupokea ila huduma watasitisha. wangekuwa waungwana kama wangeunganisha mtandfao wao na madirisha yanayotoa huduma ili kujua kama wachangiaji ni halali au la badala ya kuwasumbua hata wateja ambao ni halali
Mstaafu mtarajiwa anatoa taarifa miezi sita kabla ya muda.Sasa mda ukifika inakuwaje Mstaafu aendelee kusubiria malipo wakati alishatoa notice miezi sita.
Kaka usitetee ujinga wa huu mfuko me navyokwambia mstaff huyu ninaemwona anahangaika mpk ss kudai mafao yake ni ndugu yangu na kila kitu kakamilisha bt wanamzungusha tu hapo mbeya mara tuyapiga cm dar mara cjui unashughulikiwa kuwa mvumilivu toka mwez wa sita till nwUkumbuke kuwa PSPF haiwez kutoa mafao kama mwajiri hajakuoa kibali cha kustaafu
unaweza kutoa taarifa kwa mwajiri lakin kibali kikachelewa kutikana na sababu mbalimbali
baada ya kibali kutoka ndo unatakiwa kujaza form ya maombi ya mafao na kuambatanisha nyaraka zingine.zinazohitajika
ukweli ni kuwa ukitimiza na kufata utaratibu maoema na mafao yanashughulikiwa mapema
Kama michango ilikuwa haifiki ni wazi kutakuwa na ucheleweshwaji. Nawashauri watu wanaokaribia kustaafu wafuatilie mapema sana (walau mwaka mmmoja kabla ya kustaafu) kuhakiki kama michango yao yote imekuwa ikienda!
Pia kuna utaratibu unaofuatwa kuanzia ofisi ya mwajiri, n.k.
kaka unaanza kufuatilia mwaka mmoja kabla ukiombwa salary slp ya mwez wa mwisho unaostaff utatoa nn?
kaka unaanza kufuatilia mwaka mmoja kabla ukiombwa salary slp ya mwez wa mwisho unaostaff utatoa nn?