AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
duuh, hahaha, miaka 30, yaani thirty good years abroad na bado has nothing on his hand. pole sana.Kabla hujaondoka hapa, tafadhali wasiliana kwanza na Le Mutuz System.
Yeye ana uzoefu wa miaka 30 huko majuu na hataki kabisa kusikia habari za huko.
Lakini ushauri wangu, naomba ukomae hapa hapa nyumbani kwa sababu pana fursa kibao tu kama utajituma.
Tatizo la vijana hususan wanaomaliza chuo huwa wanakuwa na ndoto fulani za abunuwasi wanapokuwa huko, sasa wakishafika kitaa na kuona upepo tofauti, akili huwa zinawahama na kutamani kwenda majuu kwa sababu huwa wanahisi kwa hadhi ya elimu waliyonayo pamoja vyeti vyao, hawawezi kufanya kazi za huku kitaa ambazo ndio zinawatoa wengine.
nakushauri nenda AFGHANISTAN, utawakuta wenzio walima mimea ya cocaine na wabwia unga wenzio wengi sana, utaenjoi laifu sana kule. ukishindwa afghan, mwombe Mungu akusaidie uende ahera.
alshababu wako Somalia bwana sio Mombasa na kericho...nenda mkuu au Kisumu na Eldoreti hakuna sehemu nzuri kama huko hapa duniani nimetembea nchi nyingi lakini huko nomaa safi sana...
Sababu zipi zimekupelekea kutaka kuhama bongo?
alshababu wako Somalia bwana sio Mombasa na kericho...nenda mkuu au Kisumu na Eldoreti hakuna sehemu nzuri kama huko hapa duniani nimetembea nchi nyingi lakini huko nomaa safi sana...
Mazingira mkuu
karibu kwa Ushauri
Embu fafanua kidogo
Mie kuhama tz Lowasa akiwa rais itabidi nikutafute niwe mgeni wako tangulia mkuu
Habari za Leo.
Nakuja hapa kwa heshima kubwa iliyo ndani ya Jukwaa hili.
Nataka kuhama Bongo/Tanzania Muda wowote ila sijaafiki Nchi nitakayoenda nitakapoondoka.
Hivyo naomba bila hiyana mniongoze katika hili
Je Ni Nchi gani Barani Africa hata Ulaya ,Amerika na Mashariki ya Kati naweza.kuwa Mhamiaji Bila Usumbufu?
Ushauri wako ni Muhimu Zaidi.
Mazingira hayaelewi mkuu.
Kama una fedha za kutosha nenda Malta na unapewa uraia mara moja. Lakini inatakiwa uwe na fedha... dola 865,000 ambazo utawekeza kwenye benki yao. Hii nchi wanasaka fedha za kufufua uchumi wao na passport yao inakuwezesha kutembea Ulaya na USA bila kuomba visa. Kuna na nchi ndogo ndogo kama Dominica nk ambazo hutoza fedha chache kidogo kama dola 100,000. Hata USA ukiwa na dola milion moja nadhani unaweza kupewa investor's visa (hii ya USA sina uhakika sana.