Yaani unashangaa mtzania wa kawaida kuhama nchi ?Kweli bado tz iko nyuma
Huendi kutafuta chochote, whether biashara au kazi? Now I can see u're not serious mkuu! Umejiwezesha kiasi gani ww? Una hela mpaka unaona Bongo inanuka unataka kuikimbia? Mh Ama kweli duniani Kuna mambo
Mi demu mbona. Baki hapa panakufaa kwa shida ulizonazo. utaanza kusumbua wazazi tu
Nenda Brazil
Yaani ukishindwa kuishi bongo hakuna nchi utaweza ishi. Bongo ni kila kitu ujanja wako tu.... nchi gani itakuvumilia wewe uwe unachati tuuu masaa yote tangu 2011 unachati tuuu umeifanyia nini nchi hii? fikiri upya.
Yaani unashangaa mtzania wa kawaida kuhama nchi ?Kweli bado tz iko nyuma
Biashara Dar mpaka Nairobi basi tena mkuu?
nenda KENYA MKUU SAFI SANA ASIKUAMBIE MTU.TENA UWE NAKURU,MOMBASA...Habari za Leo.
Nakuja hapa kwa heshima kubwa iliyo ndani ya Jukwaa hili.
Nataka kuhama Bongo/Tanzania Muda wowote ila sijaafiki Nchi nitakayoenda nitakapoondoka.
Hivyo naomba bila hiyana mniongoze katika hili
Je Ni Nchi gani Barani Africa hata Ulaya ,Amerika na Mashariki ya Kati naweza.kuwa Mhamiaji Bila Usumbufu?
Ushauri wako ni Muhimu Zaidi.
Huna pesa wewe, hakuna mtu mwenye pesa anatumia mda vibaya kama wewe. Unachati hapa vitu ambavyo havina maana, kwanini usitafute kitu cha kufanya??
Karibu Kigali mkuu.
nenda KENYA MKUU SAFI SANA ASIKUAMBIE MTU.TENA UWE NAKURU,MOMBASA...
alshababu wako Somalia bwana sio Mombasa na kericho...nenda mkuu au Kisumu na Eldoreti hakuna sehemu nzuri kama huko hapa duniani nimetembea nchi nyingi lakini huko nomaa safi sana...Huko Alshaababu wakali
nakushauri nenda AFGHANISTAN, utawakuta wenzio walima mimea ya cocaine na wabwia unga wenzio wengi sana, utaenjoi laifu sana kule. ukishindwa afghan, mwombe Mungu akusaidie uende ahera.Habari za Leo.