kiboko bin mkwaju
Member
- Sep 25, 2012
- 8
- 0
Nindoto yangu kugombea ubunge maishani mwangu.
Nakushauri kwanza uangalie kwa makini makaratasi yako ya uraia Kama yamekaa vizuri.Nindoto yangu kugombeya ubunge maishani mwangu,kwasasa nasomea ualimu, mwaka wa mwisho,namaanisha 3rd yr kuanzia october 8, nawaza. na natamani sana kuwa mkombozi na mtetezi wa wanyonge maisha yangu yote ila tatizo sijui nitaanzia wapi ili kutimiza ndoto hii.Wadau,wanasiasa nisaidieni mawazo hapa niko sirious kugombeya ubunge katika jimbo moja hapa Tz je niwapi pakuanzia,
Kwanza itabidi niwe na pesa kiasi gani ili nigombee huo ubunge?
kutokana na fani nayo isomea na jun mwakani natumaini nitakuwa nime maliza je nitakuwa sahihi kugombeya?
Je ninini chauongeza au kujiandaa kielimu kiuchumi ama kisisiasa ili niwe kamili.
Nindoto yangu kugombeya ubunge maishani mwangu,kwasasa nasomea ualimu, mwaka wa mwisho,namaanisha 3rd yr kuanzia october 8, nawaza. na natamani sana kuwa mkombozi na mtetezi wa wanyonge maisha yangu yote ila tatizo sijui nitaanzia wapi ili kutimiza ndoto hii.Wadau,wanasiasa nisaidieni mawazo hapa niko sirious kugombeya ubunge katika jimbo moja hapa Tz je niwapi pakuanzia,

ji update na mambo mengi ya siasa both ya kitaifa na kimataifa,chukua uanachama chama unachokiona kinafafana na wewe,jipendekeze kwa wakubwa kwa kujituma,jitahidi uwe na nguvu ya hoja,usiwe na hofu ya kuzungumza mbele ya hadhira MAMBO NI MENGI MNO TATIZO UMEULIZA SWALI LIPO TOO GENERAL PIA TAMBUA HILO SWALA SIO LA MUDA MFUPI NDUGU NA HALINA GURANTEE
Nindoto yangu kugombeya ubunge maishani mwangu,kwasasa nasomea ualimu, mwaka wa mwisho,namaanisha 3rd yr kuanzia october 8, nawaza. na natamani sana kuwa mkombozi na mtetezi wa wanyonge maisha yangu yote ila tatizo sijui nitaanzia wapi ili kutimiza ndoto hii.Wadau,wanasiasa nisaidieni mawazo hapa niko sirious kugombeya ubunge katika jimbo moja hapa Tz je niwapi pakuanzia,
Kwanza itabidi niwe na pesa kiasi gani ili nigombee huo ubunge?
kutokana na fani nayo isomea na jun mwakani natumaini nitakuwa nime maliza je nitakuwa sahihi kugombeya?
Je ninini chauongeza au kujiandaa kielimu kiuchumi ama kisisiasa ili niwe kamili.
Umemshauri vyema. Cha kuongezea, si tu acheki makaratasi yake ya uraia bali pia vyeti vyake na aina ya Chuo anachosomea vina walakini kwa mtu anayesomea Ualimu kwa miaka 3 (hopefully ni shahada ya ualimu) kuwa na matatizo lukuki ya uandishi tena wa lugha ya Kiswahili. Huyu si boya kweli ambaye ameogopa kujitosa kupambana na mazingira ya uanataaluma akadhani kwenye siasa vilaza kama yeye ndio wanatakiwa? Too sad to a higher learning institution student to have such a disturbing grammar & poor writing skills of his/her own national language!Nakushauri kwanza uangalie kwa makini makaratasi yako ya uraia Kama yamekaa vizuri.
Pili nakushauri uchukue madarasa ya Kiswahili.
Tatu ujifunze jinsi ya kuandika habari au taarifa...kwa hili unaweza kuanzia na kuandika IMLA.
Ukikamilisha hayo unaweza kuanza na kugombea Ujumbe wa nyumba kumi kumi,halafu ukaendeleza harakati kuanzia hapo.
Kila la kheri mkuu.
Umemshauri vyema. Cha kuongezea, si tu acheki makaratasi yake ya uraia bali pia vyeti vyake na aina ya Chuo anachosomea vina walakini kwa mtu anayesomea Ualimu kwa miaka 3 (hopefully ni shahada ya ualimu) kuwa na matatizo lukuki ya uandishi tena wa lugha ya Kiswahili. Huyu si boya kweli ambaye ameogopa kujitosa kupambana na mazingira ya uanataaluma akadhani kwenye siasa vilaza kama yeye ndio wanatakiwa? Too sad to a higher learning institution student to have such a disturbing grammar & poor writing skills of his/her own national language!