PreGE2025 Nataka kugombea Ubunge mwaka huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sawa mkuu. Kila juhudi inayofanywa na mtu yoyote huwa lazima iwe na maslahi ila maslahi hayo yatategemea yanaenda wapi??
Yaani unautaka ubunge huku kuandika vizuri tu shida.

Sio 'mtu yoyote' bali 'mtu yeyote'.

Samahani mkuu, kumbe sifa ya mtu kuwa mbunge ni kujia kusoma na kuandika pekee haijalishi umeishia darasa la ngapi.

Kila la heri mkuu.
 
4.Kuongeza uthubutu kwa vijana, wanaoogopwa kurogwa na wazee.
Hii ndo point kubwa kwako.
 
Haya yote unashindwa kuyafanya sasa mpaka uwe kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…