IFUNYA
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 363
- 132
WanaJF nawaombeni mniunge mkono kwa hii ndoto yangu ya siku nyingi. Tangu milieu motto mama yangu alikuwa akiniuliza maswali ambayo majibu yake nilijibu nataka Kuwa RAIS wa Tanzania WA kuchaguliwa na wapiga kula. Kwa sasa niko tayari kuwatumikia watanzania wapenda amani Mola aniongoze kwa hili.