Unaanza na mmoja unamuambia siri yako usimuambie mtu, unakuja wa pili hivyo hivyo, kisha unamalizia wa tatu humuambii chochote hata akiwasimulia wenzake inakuwa wameshachelewa.
Muhimu: Hakikisha utakapoanza zoezi hilo usichukue muda mrefu kumfuata wa pili na wa tatu, vinginevyo kitawaka