Nataka kufungua duka la nguo za kiume

Nataka kufungua duka la nguo za kiume

Joined
Jul 1, 2014
Posts
53
Reaction score
22
Wakuu habari za muda, nina mtaji wangu wa 3m nataka kufungua biashara ya duka la nguo za kiume, yoyote mwenye uzoefu na biashara hii tafadhali naomba msaada na changamoto zipi nitapitia.

Nawasilisha.
 
Biashara inataka uwe mbunifu sana, hapo cha kwanza inabidi uangalie location nzuri kwa baishara yako...
 
Wanaume sio watumiaji wazuri, jiandae na msoto kiaina
 
Back
Top Bottom