Nataka kufungua Dry Cleaner

Nataka kufungua Dry Cleaner

jonas2011

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
321
Reaction score
129
Wadau hv machine gan(washing machine) ni bora kwa kuanzia kufungua dry cleaner.
 
Wadau hv machine gan(washing machine) ni bora kwa kuanzia kufungua dry cleaner.

Samsung ni bora...moja ya changamoto katika dry cleaner nyingi ni mota za mashine zinaharibka..hassa mzigo unapokuwa mkubwa...kama mablanket n.k uchukua muda mrefu kukaushwa..nakushauri ununue samsung angalau zinastahimili
 
hongera kwa hatua unayoitaka kuichukua..ukifanikiwa niajiri jamani
 
Mkuu pata DEFY,Bosch au Kelvinator kama hayo makampuni yapo kkoo wacheki hao ndio bora ktk vtu ivyo..macro au game johannesburg bei zao ni rand 7000 mpaka 10,000 inategemeana na kilo ya mzigo inayobeba.rand moja ni tsh 170 kama una mtu South akusaidie kupata malori mengi ya Tz yapo kempton park akipakia unapata tuu hapa.
 
Back
Top Bottom