MfalmewaKiha JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 1,191 Reaction score 1,247 Feb 21, 2020 #1 Mimi ni mwanamziki,Nimewaza sana mtu ambae naweza fanya nae collabo nikagundua huyu mwana mama Anaweza Kusimama vzr kwenye Chorus yangu , Tatizo nimejaribu kumtafuta kwa namna yoyote ile ila nimekosa mawasiliano Tafadhari mwenye Mawasiliano yake anisaidie Naomba kuwakilisha Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwanamziki,Nimewaza sana mtu ambae naweza fanya nae collabo nikagundua huyu mwana mama Anaweza Kusimama vzr kwenye Chorus yangu , Tatizo nimejaribu kumtafuta kwa namna yoyote ile ila nimekosa mawasiliano Tafadhari mwenye Mawasiliano yake anisaidie Naomba kuwakilisha Sent using Jamii Forums mobile app
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,586 Reaction score 81,546 Feb 22, 2020 #2 Kama yupo JF atauona huu uzi.