Yaasin2025 Member Joined Jan 13, 2014 Posts 65 Reaction score 9 Nov 11, 2014 #1 habari mimi ni msichana na ninataka kufanya biashara ya ngu.lakini hizi za mitumba na pia nataka niuze za kike na za kiume tatizo sijui ni waoi ambapo naweza kupata nguo naombeni msaada wenu, asanteni snaa
habari mimi ni msichana na ninataka kufanya biashara ya ngu.lakini hizi za mitumba na pia nataka niuze za kike na za kiume tatizo sijui ni waoi ambapo naweza kupata nguo naombeni msaada wenu, asanteni snaa
S swaie Member Joined Oct 23, 2014 Posts 5 Reaction score 6 Nov 11, 2014 #2 sijui upo mkoa gani kama ni dar jaribu kwenda karume
Phlagiey JF-Expert Member Joined Oct 26, 2013 Posts 3,500 Reaction score 1,688 Nov 11, 2014 #3 Kabla haujaomba kuelekezwa wapi utaipata hii mitumba ni vyema ungesema unapatina wapi?
Afande Nyati JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 2,385 Reaction score 1,414 Nov 11, 2014 #4 Km uko Dar, Ilala asubuh sana nenda pale wakati wanafungua mabalo utapata kwa cheap price then utatengeneza profit.
Km uko Dar, Ilala asubuh sana nenda pale wakati wanafungua mabalo utapata kwa cheap price then utatengeneza profit.