Nataka Kufanya Biashara Na Jordan Express Company | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka Kufanya Biashara Na Jordan Express Company

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mafian, Apr 25, 2012.

 1. m

  mafian Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau kuna mtu ashawahi import gari au kitu na hawa jamaa maana kama nna mashaka nao sana...Ni kampuni ya ukweli?
   
 2. m

  marinjerinje Member

  #2
  Jun 8, 2015
  Joined: Dec 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waliniagizia gari fuso kwa bei mzuri wanachagua magiri mazuri wanamtu wao yuko Japan anachagua magari mazuri sana,Niliwaunganisha na jamaa yangu gari baada ya kufika likaibiwa redio bandarini sikujua mwisho ulikuaje ila wako vizuri.
   
 3. matege2

  matege2 Senior Member

  #3
  Jun 8, 2015
  Joined: May 7, 2015
  Messages: 112
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  mabasi yao baadhi ni mabovuuuu
   
 4. Kakondele

  Kakondele JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2015
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  kama ni mabasi au gari bora ulipitishie bandari ya Mombasa tu huko hakuna uzungushwaji wala ubabaishaji
   
Loading...