Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 52
Heshima mbele
Nataka kuchakachua MODERM mbili moja ya ZAIN na ingine ya ZANTEL ILE ambayo haina line je mwenye software anidondoshee fasta.
asanteni
NAMBA AKE UNLOCK for ZAIN modem. model E169 & IMEI no. 352835036952824. ZILE ZA ZAMANI
- Je ukiweka laini tofauti inakutaka uweke unlock code? Kama ni ndio unlock code zake hizi hapa: 59892927
Kama ni pesa nitatoa bora tu nifanikiwe
HiiMkuu mm sihitaj pesa yako, Download hyo program, weka line ambayo haikubali kwenye hyo modem yako, mfano tigo,voda n.k
Make sure kwenye dashboard ilitoa message kwamba line iliyowekwa kwenye modem sio inayotakiwa...
then fungua program, nenda kwenye model na uchague Model yako: Huawei E169/E169G
Ukishachagua hyo model, click Hyo search button (yenye lens), it should detect your modem!
ikishadetect hyo model, Button ya Do job! itakua active, click it... subiria mpaka imalize and that would be Done!
Mkuu, i dont gurantee kwamba nimecover kila kitu kwasababu sina hyo modem, hapa naelekeza from experience long time ago... ila i think it should do it..
Mkuu na router vipi unaweza kuiunlock?Mkuu mm sihitaj pesa yako, Download hyo program, weka line ambayo haikubali kwenye hyo modem yako, mfano tigo,voda n.k