next
JF-Expert Member
- Nov 2, 2007
- 604
- 184
Ipo fresh boss, rpm haikua inafanya kazi toka mwanzo na sijahangaika nayo baada ya kubadili engine. Kwa speed ipo poa. Nilienda nayo tukuyu. 120-140km/h ni kawaida.Mkuu gear box yako ni auto au manual? Je kama ni auto inakubari kufika speed 120km/h? Je baada ya kubadilisha engine rpm inasoma vizuri,maana, mkuu hata mimi nina mpango huo wa kubadilisha engine pindi hii 4jx1 itakapo dead.
Gali imenisumbua kinoma ila ndio ivyo tena nina mahaba nazo. Kuna moja nimeiona i wish to have it. Mambo ya engine nishajua jinsi ya ku deal nayo