Nataka kubadili engine ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti

mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
918
1,401
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti.
1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon
2: Je nikibadili engine **** umuhimu pia wa kubadili na gear box,
3: Naomba msaada wa kueleweshwa pia ni aina gani ya engine iliyo bora na yenye unafuu wa gharama wakati wa kufanya service.
Natanguliza heshima kwenu wana bodi nipatieni msaada huo wa mawazo. Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka injini ya 1KZ na gearbox yake ya Surf.
 
Ongea na mafundi, nakushauri uweke 5L, kama gari yako ni auto huna haja ya kubadili gearbox isipokuwa utawekewa bella house (spell ya bella) sina uhakika but ukiwaelezea wanajua
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako ndugu, gari yangu ni manual
 
AKIKUJIBU NI TAG NA MIMI NIPATE UZOEFU
1: Service yake iko juu sana ( ghali )
2: Mfumo wake was umeme unanisumbua sana kila nikitengeneza baada ya wiki moja tatizo linakuwa liko pale pale. Inaunguza sana brush za starter motor, nimejaribu kwa mafundi wengi mno naona mafanikio hayapo.
3: Kuna wakati unaweza kuiwasha na ikakubali vizuri tu na ukatembea mwendo mrefu , shida inakija kuwa ukisha izima haikubali tena kuwaka hadi ndani ya masaa kama 3 ndio ukubali kuwaka, Ila eti umekwenda sehemu, na shida yako labda ni ya dk labda 10 ukimaliza ukirudi kuiwasha haikubali kabisa hadi ipoe sana.
 
ok mkuu, but kwa kubadiri injini unadhani tatizo linaweza kuwa solved,maana na mimi ninayo kama yako ya urithi sasa kabla hayaja nikuta nibora kifanya kama unavyotaka kufanya
 
Uliyonayo kama ni ya diesel

Mkuu kwa tatizo hilo sio kigezo cha kubadili injini,
Hata ukibadili injini hili tatizo linaweza tokea tu!
Ni matokeo ya kuchoka tu kwa mfumo wa Mafuta na compression ya injini.

Kuliondoa tatizo hilo kwa kufuata standard zote itakugarim kama 3 hadi 3.5 ml.

Au, Kuliondoa tu tatizo itagharim zaidi ya 1ml.

Kwa bei hizi haitafikia gharama za kununua injini nyingine!

Hizi gari spea zake ni ghali lakini zina maisha marefu mno!

Kama utaamua kubadili injini kwa ajili ya garama za matengenezo, nunua 3L, toleo hili sio sumbufu na spea zake ni nafuu mno! Zinakuwepo kwenye hiace na hilux 2.5.

Kama hutaweza kununua giabox yake itabidi ununue bell housing yake ifanyiwe marekebisho yatayohitajika itakaa poa"
 
Nakushukuru sana ndugu yangu ,ushauri wako nimeupenda.
 
ok mkuu, but kwa kubadiri injini unadhani tatizo linaweza kuwa solved,maana na mimi ninayo kama yako ya urithi sasa kabla hayaja nikuta nibora kifanya kama unavyotaka kufanya
Nadhani itakuwa vzr kama ukifanya hivyo
 
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti.
1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon
2: Je nikibadili engine **** umuhimu pia wa kubadili na gear box,
3: Naomba msaada wa kueleweshwa pia ni aina gani ya engine iliyo bora na yenye unafuu wa gharama wakati wa kufanya service.
Natanguliza heshima kwenu wana bodi nipatieni msaada huo wa mawazo. Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....kabla ya kubadilisha engine..badilisha kwanza kwenye uzi wako hapo namba 2 neon la 4 .......
 
1: Service yake iko juu sana ( ghali )
2: Mfumo wake was umeme unanisumbua sana kila nikitengeneza baada ya wiki moja tatizo linakuwa liko pale pale. Inaunguza sana brush za starter motor, nimejaribu kwa mafundi wengi mno naona mafanikio hayapo.
3: Kuna wakati unaweza kuiwasha na ikakubali vizuri tu na ukatembea mwendo mrefu , shida inakija kuwa ukisha izima haikubali tena kuwaka hadi ndani ya masaa kama 3 ndio ukubali kuwaka, Ila eti umekwenda sehemu, na shida yako labda ni ya dk labda 10 ukimaliza ukirudi kuiwasha haikubali kabisa hadi ipoe sana.
Bila shaka engine code ni 4JX1. Ni engine kichefu chefu sana. Waweza kuweka engine ya isuzu 4JG2. Hapo utaweka engine pekee hakuna kingine utabadilisha. Nimebadili mwaka jana nikapumzika. Bighorn ni mimba!
 
Back
Top Bottom