Msiba wa Taifa
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 128
- 53
Sijakuelewa kakaangu.Tatizo ukija yatima inabidi uambatanishe cheti cha kifo cha mzaz mmojs
Ukijaza Orphan watakuhitaji uambatanishe death certificates za wazaz wote wawili ila ukijaza single parent utaambatanisha chet kimoja cha mzaz aliyefarik so ni bora uweke single parent kama una chet cha kifo cha mzee.Jamani mimi nimerud tena kuuliza swali mnisaidie tafadhari...
Nimejaribu kujaza form ya mkopo lakini kuna kipengele cha kuonesha kama ni yatima au wazazi wako hawana uwezo au una mzazi mmoja.
Sasa mimi nina mzazi mmoja ambaye ni mama tu...
Swali langu ni kwamba naweza jaza option ya kuwa yatima.
Kw maana nina mzazi.mmoja mama tu .
NAOMBENI USTAARABU KASHFA USIINGIZE TAFADHARI NAOMBENI MAJIBU MAZURI YA KISTAARABU.
yatima kwa bodi aliefiwa na wazazi wawiliYatima inaweza kuwa kukosa mzazi mmoja au wote wawili (sijui bodi wanachukuliaje). Cha muhimu ni kuwa na ushahidi au wa kifo kama kuna death certificate au barua ya serikali ya mtaa kuonyesha una mzazi mmoja.
Nshaanza kusoma ila usjiri sijafanyaKukata rufaa mpk upewe pesa mwez wa kwanza je cho vipi utaenda mwez wa 1