nataka kuanzisha charity......

rebeca

Senior Member
Dec 18, 2011
190
27
shop hapo dar.....nilikuwa niuze nguo,viatu electronics pamoja na fenicha ila naogopa wabongo hatuna culture ya kutoa msaada,wabahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiliiiiiii....kila kitu mnataka mletewe tu kma serikali yenu...mie nilitaka nianzishe charity ila ijiendeshe yenyewe bila misaada kutoka nje.....ila ninegundua tumezoeshwa kuwa dependant kuanzia serikalini mpka individual level,kitu kingine tunaumbuliwa na kasumba am sure kuna watu hawatakanyaga 'rebeca-minds charity shop kwa vile ningeuza nguo za mtumba walizovaa wabongo wenzao lol ila ningesema mtumba wa nje wangenunua....SHAME ON YOU WAZUNGU WORSHIPPERS....tubadilike mie natka kusaidia jamii yangu hasa watu walioathrthirika na mental problem kama deppresion anxiety etc...ila naona sitaweza which is sad,anyway kwanza a shy sjui kama ningeweza kumobilize watu,lol.....
 
una negative atitude na wabongo so hata ukiweza kuanzisha hiyo charity thing hutofanikiwa.

Ili ufanye kitu kwa mafanikio lazima uwe na positive atitude kwa potential supporters.
 
Who is stoping you? Stop blaming wabongo for your own shortcomings. IF YOU WANT TO DO IT......DO IT:yawn:!!
 
shop hapo dar.....nilikuwa niuze nguo,viatu electronics pamoja na fenicha ila naogopa wabongo hatuna culture ya kutoa msaada,wabahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiliiiiiii....kila kitu mnataka mletewe tu kma serikali yenu...mie nilitaka nianzishe charity ila ijiendeshe yenyewe bila misaada kutoka nje.....ila ninegundua tumezoeshwa kuwa dependant kuanzia serikalini mpka individual level,kitu kingine tunaumbuliwa na kasumba am sure kuna watu hawatakanyaga 'rebeca-minds charity shop kwa vile ningeuza nguo za mtumba walizovaa wabongo wenzao lol ila ningesema mtumba wa nje wangenunua....shame on you wazungu worshippers....tubadilike mie natka kusaidia jamii yangu hasa watu walioathrthirika na mental problem kama deppresion anxiety etc...ila naona sitaweza which is sad,anyway kwanza a shy sjui kama ningeweza kumobilize watu,lol.....

unataka kuanzisha nini?
 
unataka kuanzisha nini?

charity,ambapo source ya income itakuwa charity shop....nadhani unajua charity shop??? watu wanadonate goods zinauzwa at cheap price zinagenerate income ya ku run hio charity......anyway,hii ni my project in the next five years...ngoja nisome kwanza niwe na kazi.lol.........i will do it with or without suport ya wanajamii.....lol
 
Ofcourse i know what charity/non-profits are!
Unataka ku cut and paste mambo ya huko ehh? Unakaribishwa sana to this part of the Planet.Wenzio walikuja na mcheche ivo ivo....tunawaangalia tu.

Ofcourse i know what charity/non-profits are!
Unataka ku cut and paste mambo ya huko ehh? Unakaribishwa sana to this part of the Planet.Wenzio walikuja na mcheche ivo ivo....tunawaangalia tu.

sasa uliuliza ili iweje kama unajua???mmmmnh.....

hapo nilipobold i cant stand negativity....just watch me do it in five years time,lol
 
Back
Top Bottom