Sera chache za chama hiki nimeziorodhesha hapa chini:
1. Kupigania kuundwa kwa taifa moja lenye serikali moja tu.
2. Kurekebisha mitaala ya elimu ili itolewe kwa lugha ya kiingerza kwa viwango vyote.
3. Kurudisha elimu ya watu wazima ili wajifunze elimu ya uraia.
Hizo ni chache mno kwa hiyo kama unaniunga mkono na upo humu, nipe sera zaidi ili nianze mikakati ya kutafuta wanachama na kukisajiri.

cha nini kwani CCM imeshindwa kuongoza? hatutaki fujo za CDM nyingine watu tupo kazini kuiendeleza nchi
Sera chache za chama hiki nimeziorodhesha hapa chini:
1. Kupigania kuundwa kwa taifa moja lenye serikali moja tu.
2. Kurekebisha mitaala ya elimu ili itolewe kwa lugha ya kiingerza kwa viwango vyote.
3. Kurudisha elimu ya watu wazima ili wajifunze elimu ya uraia.
Hizo ni chache mno kwa hiyo kama unaniunga mkono na upo humu, nipe sera zaidi ili nianze mikakati ya kutafuta wanachama na kukisajiri.
Hi nchi haina matatizo ya ajabu bali nyie Urimo (Ulimo) na CDM ndio mnaofanya nchii ionekane kama ni jehanamu flan, nashukuru SLAA ni mzee ataondoka karibuni angekuwa kijan angejaichoma moto nchiNacho no chama cha kutangaza hata kwa watu hicho? Huna aibu au na wewe ni wale wale. CCM ilishapoteza dira sasa hivi ni chama ambacho kinasubiri mazishi tu! Huoni mambo yanvyoenda hobela hobela kama nchi haina mwenyewe? Wewe unaona nchi hii inaenda mbele sasa hivi? Hapa tumekwama na yote haya ni shauri ya sera mbofu mbofu za CCM. Eti mko kazini labda kazini kwenye mambo ya ufisadi wenu!!
Sera chache za chama hiki nimeziorodhesha hapa chini:
1. Kupigania kuundwa kwa taifa moja lenye serikali moja tu.
2. Kurekebisha mitaala ya elimu ili itolewe kwa lugha ya kiingerza kwa viwango vyote.
3. Kurudisha elimu ya watu wazima ili wajifunze elimu ya uraia.
Hizo ni chache mno kwa hiyo kama unaniunga mkono na upo humu, nipe sera zaidi ili nianze mikakati ya kutafuta wanachama na kukisajiri.
Asante bwana mdogo kwa malekebisho haya maana hata mwenyewe baadaye nililiona hilo kosa ila mbege sijanya. Naelekea kwenye kikao na baadhi ya wanachama wa ULIMO na wewe baadaye uje. Ni chama matata balaa!Hivi mkuu umeshakunya vipimo vingapi vya Mbege?
Ebu tueleze hiyo R umeitoa wapi kwenye initials za chama chako? rekebisha kwanza ndio tuongee..
United Liberal Movement (ULIMO) na sio URIMO....
Vipi nikuazime katibu mkuu wangu wa hapa Lumumba?Asante bwana mdogo kwa malekebisho haya maana hata mwenyewe baadaye nililiona hilo kosa ila mbege sijanya. Naelekea kwenye kikao na baadhi ya wanachama wa ULIMO na wewe baadaye uje. Ni chama matata balaa!
hatuhitaji movement nyingine, Christian Democratic Movement (CDM) inatutosha!Hatudanganyiki ng'oooo!!!!!!!!!!!!!!!.Watu nchi hii wanataka chama kimoja tu chenye nguvu na kimeshapatikana.Ya nini kuhangaika?? Kila kona ya nchi hii sasa hivi ni Peoples Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Watakuja na kila hadaa mara ni chama chenye udini mara kina ukabila lakini wananchi wameshafanya maamuzi ya chama kipi ni mkombozi wao'.....Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!