Nataka kuanzisha chama cha united liberal movement (urimo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuanzisha chama cha united liberal movement (urimo)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hmaster, Feb 4, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sera chache za chama hiki nimeziorodhesha hapa chini:
  1. Kupigania kuundwa kwa taifa moja lenye serikali moja tu.
  2. Kurekebisha mitaala ya elimu ili itolewe kwa lugha ya kiingerza kwa viwango vyote.
  3. Kurudisha elimu ya watu wazima ili wajifunze elimu ya uraia.
  Hizo ni chache mno kwa hiyo kama unaniunga mkono na upo humu, nipe sera zaidi ili nianze mikakati ya kutafuta wanachama na kukisajiri.
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sasa hata sera za hicho chama huna, halafu unataka kuanzisha chama! Anzisha tu, wanachama mtakuwa wewe na mkeo halikadhalika wagombea mtakuwa wewe urais na mkeo umakamu.
   
 3. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Watu wengine bwana, kwahiyo hayo ndio unaona mambo ya msingi sana kwenye sera zako? Halafu lengo la hicho chama ni kumkomboa mtanzania au kushibisha matumbo ya familia yako?
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0

  wahi...nunua mchele kiroba kimoja....pika pilau halafu waalike Tambwe Hiza na Makamba ..... kesho yake chama kitasajiliwa
   
 5. M

  Molemo JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hatudanganyiki ng'oooo!!!!!!!!!!!!!!!.Watu nchi hii wanataka chama kimoja tu chenye nguvu na kimeshapatikana.Ya nini kuhangaika?? Kila kona ya nchi hii sasa hivi ni Peoples Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Watakuja na kila hadaa mara ni chama chenye udini mara kina ukabila lakini wananchi wameshafanya maamuzi ya chama kipi ni mkombozi wao'.....Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cha nini kwani CCM imeshindwa kuongoza? hatutaki fujo za CDM nyingine watu tupo kazini kuiendeleza nchi
   
 7. Gobret

  Gobret JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Jun 11, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huna jipya. Hufai kwenda chadema. Baki ccm na mawazo yako mgando. Kama una mawazo yasiyoelekezi utawezaje kutoa hoja zenyekuleta mabadiliko ya kweli. Chadema ipo kuwakomboa watz kutoka kwenye udhalimu wa ccm na mafisadi papa.chadema hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!.
   
 8. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  siasa ni jambo la kifamilia, anza na waif na watoto, sisi wengine tutakuunga mkono badae....kumbuka wakati wa uchaguzi, ni kijana wako ndio atakuwa anakupigia kampeni, na waif pia.
   
 9. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,861
  Likes Received: 2,786
  Trophy Points: 280
  Nacho no chama cha kutangaza hata kwa watu hicho? Huna aibu au na wewe ni wale wale. CCM ilishapoteza dira sasa hivi ni chama ambacho kinasubiri mazishi tu! Huoni mambo yanvyoenda hobela hobela kama nchi haina mwenyewe? Wewe unaona nchi hii inaenda mbele sasa hivi? Hapa tumekwama na yote haya ni shauri ya sera mbofu mbofu za CCM. Eti mko kazini labda kazini kwenye mambo ya ufisadi wenu!!
   
 10. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hivi mkuu umeshakunya vipimo vingapi vya Mbege?

  Ebu tueleze hiyo R umeitoa wapi kwenye initials za chama chako? rekebisha kwanza ndio tuongee..

  United Liberal Movement (ULIMO) na sio URIMO....
   
 11. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi nchi haina matatizo ya ajabu bali nyie Urimo (Ulimo) na CDM ndio mnaofanya nchii ionekane kama ni jehanamu flan, nashukuru SLAA ni mzee ataondoka karibuni angekuwa kijan angejaichoma moto nchi
   
 12. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145

  Kwa hiyo hizi ndo sera....hahahahahah.. Hongera u need to think again what do u want
   
 13. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,035
  Trophy Points: 280
  Re: Nataka kuanzisha chama cha united liberal movement (urimo)

  Mwenyewe hujui hata kuandika kifupi cha chama chako urimo/ulimo utakuwaje makini kwenye masuala muhimu ya kitaifa.
   
 14. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante bwana mdogo kwa malekebisho haya maana hata mwenyewe baadaye nililiona hilo kosa ila mbege sijanya. Naelekea kwenye kikao na baadhi ya wanachama wa ULIMO na wewe baadaye uje. Ni chama matata balaa!

   
 15. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi nikuazime katibu mkuu wangu wa hapa Lumumba?
  (sifai ccm sifai CDM ntakuwa memba wa UL(r)IMO
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Anzisha ndugu, we will support you!! una mpango wa kuanisha lini? halafu sera zako zimelenga kwenye elimu sana, is ok, ila kimekaa ki-NGO zaidi, you have to amend many issues
   
 17. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hatuhitaji movement nyingine, Christian Democratic Movement (CDM) inatutosha!
   
 18. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hadi hapo kitapoanza kuoperate ndo tutasema. Though chama makini kinahitajika sana kwa sasa ili kuchukua nchi na kuleta mageuzi ya kweli baada ya vyama vilivyopo kuleta longolongo, bado hatujasahau CCJ.
   
 19. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  R inasimamie nini kwenye hichi kifupi?(URIMO)
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Uanzishe chama watu wenyewe wa kukusikiza wako wapi? nchi imejaa majuha.
   
Loading...