Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
unatafuta presha za bure kabisa,
Nipe sababu...mbona wengine wanaweza? Hujanisaidia bado
Kabla ya kuanzisha nakushauri umuone Mudhihir,Kapuya,Komba,Banza,Choki,Kasyanju,Muumin,Lady Jay Dee... Hawa wana uzoefu wa bendi...
naomba utakapoanzisha....katika safu ya masteji shoo...count on me
Wakuu,
Nilipokuwa likizo nilifurahia sana burdani ya muziki wa bendi. Sasa nafikiria kuanzisha yangu kama uwekezaji fulani.Nkaraibisha maoni yenu kama hii bizinesi ni ya ukweli au la.Pia naomba ushauri wa kitaalamu kuhusu vyombo,ufundi na usimamizi wake.
Shukran Awal....
Wasiliana na mimi nina bendi ya kwaya Kanisani kwangu
Mimi nataka ile ya dhambidhambi bwana mchungaji yaani Jojina type...sio hiyo ya mapambo
Unatafuta laana za bure! Kwanini usiwe na Mbinguni Jazz band, Mkiimba na kumtukuza Mungu ?
Nani atalipa kiingilio?Ntarudishaje 60m za vyombo?
Kwenye Matamasha ya kiinjili na pia ukiongea na sisi wachungaji basi sadaka inaweza kuwa sehemu za pande kwako
AKHA...Nyiye wachungaji mwaijua pesa kwelikweli...tutatoana roho tu
naomba utakapoanzisha....katika safu ya masteji shoo...count on me